Wanaume: Mnajisikia vipi mnavyoombwa pesa?

Wanaume: Mnajisikia vipi mnavyoombwa pesa?

Kwa wanaume wengi wanaojielewa, issue sio kuombwa hela.. Issue ni inaombwa kwa style gani, nyakati gani, sababu gani.. Pia utegemezi uliopita mipaka nao unazingua.. Na vile vile mahusiano ni ya namna gani kwa wahusika..
Shemeji angu naomba hela nikanunue muwa
 
Kiasili mwanamume ndiye mwenye jukumu la kumtunza mwanamke kwa kuwa muumba amempa mwanaume huyo uongozi na ndio maana ni jambo la ajabu kwenye jami kuona familia inaongozwa na mwanamke na hali ya kuwa mwanaume yupo na ni mzima wa afya......na kwa kila mwanaume rijali na mwenye afya ya akili kumhudumia mwanamke na kumtimizia mahitaji yake ni jambo lenye kujivunia kwake....na hata kwenye jamii mwanaume anayeimudu vyema familia yake anaheshimika sana....na kuonekana ni wa maana....

Kitendo cha wewe kuona haya kumwambia shida zako mpenzi wako ambaye ndiye msiri hali ya kuwa wewe huna kipato chochote kinaweza kikazusha maswali na hali ua wasi wasi kwa huyo mpenzi wako......anaweza akahisi labda kuna mwingine anayekuhudumia kwa kila hali ya kuwa yeye umemfanya kama chombo cha starehe.....

Hakuna haja ya kumuonea haya mpenzi wako kwani mambo madogo tunayoyadharau mwanzoni ndiyo yanayogeuka kuwa makubwa na kupelekea kuvunjika kwa mahusiano.....hebu chukulia kama mwanandoa anashindwa kumuomba mwenzie unyumba unategemea nini kwa mwenzio..!!

Nakushauri ondoa hofu na uwe huru kwa mpenzi wako kwani hali hiyo inamfanya mwenzio ajiamini na kujiona ni mwanamume kamili na hata kupelekea utendaji mzuri hata kwenye uwanja wa sita kwa sita......
Hivi mi na wewe tuna undugu? Au niendelee tu na mipango yangu ninayoipanga?
 
Mwenyewe nilikua kama wewe,nikaja kugundua michepuko yake inachuma tu hata waombe sh ngapi wanapewa,na simu wananunuliwa,so i had to change my mind mdogo mdogo nikaomba hadi kiwanja.
Ila kama hupendi endelea hvohvo,ila usipanic ukiskia kuna wenzako wanachuma.
[emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435]
Koh Koh mwenye masikio na asikie
Heaven Sent my gelofriend andika hii, usije jibana huko mbele kula vidagaa na vitembele wengine wanapelekewa maini
 
Kumuomba pesa si tatizo tatizo kuomba bila utaratibu.........tafiti kwanza uwezo wake wa kipato kisha uwe na uhakika unachomuomba kipo ndani ya uwezo wake au unampa mtihani wa kukutafutia pesa ambayo hata yeye kuipata ni mtihani.
Nyie mbona hamfanyagi utafiti wa kidude jamani, muda wowote mnakiomba afu pesa zenu mnataka tuzifanyie utafiti
 
Why white girls wenyewe hawako hivi ......kitu gani kiko tofauti na hawa wetu wenye njaa eeerdAy
 
Nyie mbona hamfanyagi utafiti wa kidude jamani, muda wowote mnakiomba afu pesa zenu mnataka tuzifanyie utafiti
Hahaha nimecheka hadi kupaliwa huku. Nimekumbuka kuna yule mmoja alileta uzi yeye anataka kidude mara 5 kwa week afu hapo hajaoa na hawaishi pamoja na binti. Tumshukuru Mungu tumeshajizeekea khaaa ujana shughuli
 
Just thinking like this...
“It’s better for a man to be stingy with the money he has hustled for, than for a woman to deny you a hole that she didn’t even drill it herself.” MUGABE.
Did real the old man say that?! mweh
 
Mimi binafsi sina sababu za kumuomba hela maana nikiangalia kazi anayofanya ni sababu tosha ya kumuhurumia ukizingatia sina matumizi makubwa ambayo nashindwa kuyamudu. Mpaka anaamua kukupa mwenyewe tena kwakutuma kwenye simu maana anajua live siwezi kuipokea. Wanawake tuwe na huruma mda mwengine ila pia huwa nashangaa maswali ya wanaume ya kwanini uchukui hela yangu au nani amekusaidia hili au lile daaah mnalazimisha mizinga mda mwengine.
 
Hahaha nimecheka hadi kupaliwa huku. Nimekumbuka kuna yule mmoja alileta uzi yeye anataka kidude mara 5 kwa week afu hapo hajaoa na hawaishi pamoja na binti. Tumshukuru Mungu tumeshajizeekea khaaa ujana shughuli
Naomba questionnaire kama unazo nifanye utafiti wa pesa za mtu hapa, ili nimuombe
 
Kuombwa hela sio tatizo kwa upande wangu hasa pale kunapokuwa na justifiable need. Amuombe nani kama sio mimi mpenzi wake sasa. I should be her helping hand in difficult times or any other trying moments.

Ila napenda zaidi kumpa mpenzi wangu kabla hajaniomba. I feel man enough with that! Ninajionaga irresponsible pale ninaposhindwa ku-project mahitaji ya mpenzi wangu in advance kiasi cha kumfanya yeye a-struggle kunieleza.

Nafikiri ni vizuri mwanaume akijitahidi kutimiza wajibu wake kwa mpenzi wake...kwa kadri ya uwezo wake.

Kitu pekee ambacho huwa kina ni-put off ni pale mwanamke anapokuwa kama hajitambui vile. Unakuta anaomba hela kila wakati tena kwa ajili ya undisclosed uses. Bahati inawezekana wakati mwingine ukimwambia nitakupa baadae (kwasababu yoyote ile ikiwa may be ni pamoja na ku-test subira/uvumilivu au uelewa wake)..anakuwa haelewi...ananuna. Anasahau pia kuwa umekuwa muda wote uki-meet mahitaji yake. Na wakati mwingine ukiuliza hela ni ya nini (kwasababu labda unayajua mahitaji yake sana na ulishaya-address na kumpa na hela ya kutosha ya akiba/dharura) unaishia kupigwa chenga la macho. Hii mara nyingi inakuaga deal breaker kwa wanaume wanaojitambua na ambao ni genuine.

Kwakweli huwa sijui tatizo nini kwa wanawake wa aina hiyo? Naumiaga sana ninapomuona mwanamke design kama ananifanya mimi ni buzi lake. Kwamba yeye macho yake ni kwenye hela na sio mapenzi and all what we are sharing. Ni feeling inayoumiza sana wanaume wanaojitambua na wanaoelewa wajibu wao wa msingi kwa wake/wapenzi wao. Kwasababu, in the first place tayari wanaprovide for everything. Nashindwa kuelewa shida ni nini? Ni kwamba baadhi ya wanawake/wasichana wanadanganyana kuwa mchune usiwe mjinga? Lakini unanichuna nini wakati already najichunisha mwenyewe kwako? Ladies hii inawafanya mfeli mitihani hasa kwa wale wanaume ambao huwa wanatake relationship very seriously...wengi wanaishia kutemwa au kuendelea kutumiwa ila bila kuwa na malengo ya maana ya baadae. Au kama mtu alikuwa na lengo la kukusaidia zaidi anaacha. My quick thoughts !!
 
Jaribu kumuomba ukiwa naye ili uone atakavyo react then utajua anapenda au laaah
 
Back
Top Bottom