Wanaume: Mnajisikia vipi mnavyoombwa pesa?

Wanaume: Mnajisikia vipi mnavyoombwa pesa?

Yaaan nsipo kuomba hela bhas faham kua cjakupenda. Na nikikuomba unajifanya mchoyo. Na mm naanza kua mchoyo

Kwa kua wewe ni chaggabeibe sishangai. Hata hata hivo Kama ulivosema wewe sio mchoyo labda unyimwe hela
 
Akishaniomba ndio kabisa simpi. Kama hajaomba nampa. Kuomba ni kujidhalilisha
 
Kuomba hela sio Tatizo, Tatizo Mungu ametuumba wengi

1. Kuna watu "by nature" Ni wabahiri ima ana uwe au hana. Kwa mtu wa aina hii hajisikii amani kutoa hela
2. Kuna mtu anapenda kutoa hela na akitoa anapenda kusifiwa. Mfano "katika wachaga wote wewe ndie unajua thamani ya penzi na mpenzi wako" .Mtu wa aina hii asiposifiwa huwa na gubu.
3 . Kuna wengine kutoa pesa ni sawa kwako na hawana kinyongo. Hutoa kwa roho Safi.
4. Kuna wengine kutoa kwao ni sawa na kununua mapenzi. Hujisikia vibaya.
 
unapomsaidia mtu usitarajie marejesho, wkt mwingine unatumika km daraja la kumfikisha mtu sehemu fulani...keep it your mind hili otherwise utaumia sana mwanadamu anapobadilika kwakua wanadamu wote wameumbwa na ubinafsi.
Ni kweli mkuu.sasa hii imesababisha baadhi ya vijana kunywa sumu.maana unagharamia mtu ukijuwa utakuja kumuoa matokeo yake anakuja kuchukua mzigo mtu mwingine. Khatari sana hii
 
Akishaniomba ndio kabisa simpi. Kama hajaomba nampa. Kuomba ni kujidhalilisha
kuomba paupuchi ni nini?
mchoyo ni mchoyo tu hata asipoombwa hatoi.... wanaume wenye sura mbaya ni wazuri sana ndo maana toka enzi za adamu na eva wanapata wanawake wazuri...
sio wachoyo ukarimu ni silaha kubwa sana kwa mwanamke apapata mwanamke yoyote amtakae
 
hata mimi sijui nna shida gani.yaan kuumbwa pesa na msichana ndo imekuwa lisence ya kum dump....nmesha broke in more than 4 relations kwa kosa kama lako la kuombwa pesa.....kiukweli TUNAJISIKIA VIBAYA SANA....ukizingatia anakuomba pesa soon after or before game......nahisi kama nauziwa chezo wakati ni HAKI YANGU
 
nikiombwa pesa..huwa dushelele idadinda balaaa...... maana kabla sijakupa lazima nikushughulikie ipasavyo..ndio upate ujira....!
 
Mimi ni msichana nina mpenzi wangu ambaye nampenda ila nikiwa na shida huwa najishauri sana kumuomba hela,sipendi hiyo hali lakini nitafanyaje,sina kazi na bado nasoma,japo nikimuomba ananipa lakini sijui huwa anajisikiaje.

Huwa natumia njia ya simu kumuomba kwasababu nikiwa nae nashindwa kabisa kumwambia yani sielewi namuogopa ama nini.

Please nisaidieni wanaume huwa mnachukuliaje wapenzi wenu wanaowaomba hela ila mimi mpaka nikiwa na shida kubwa, please help.


Si vibaya comb hela ila iwe genuine, kwa busara, na akikwambia hana umuelewe na uaionyeshe tofauti.

Pia uwe makini kumwomba vitu mwenye uwezo. Navo. Kuomba msaada ni Kawaida
 
Kiasili mwanamume ndiye mwenye jukumu la kumtunza mwanamke kwa kuwa muumba amempa mwanaume huyo uongozi na ndio maana ni jambo la ajabu kwenye jami kuona familia inaongozwa na mwanamke na hali ya kuwa mwanaume yupo na ni mzima wa afya......na kwa kila mwanaume rijali na mwenye afya ya akili kumhudumia mwanamke na kumtimizia mahitaji yake ni jambo lenye kujivunia kwake....na hata kwenye jamii mwanaume anayeimudu vyema familia yake anaheshimika sana....na kuonekana ni wa maana....

Kitendo cha wewe kuona haya kumwambia shida zako mpenzi wako ambaye ndiye msiri hali ya kuwa wewe huna kipato chochote kinaweza kikazusha maswali na hali ua wasi wasi kwa huyo mpenzi wako......anaweza akahisi labda kuna mwingine anayekuhudumia kwa kila hali ya kuwa yeye umemfanya kama chombo cha starehe.....

Hakuna haja ya kumuonea haya mpenzi wako kwani mambo madogo tunayoyadharau mwanzoni ndiyo yanayogeuka kuwa makubwa na kupelekea kuvunjika kwa mahusiano.....hebu chukulia kama mwanandoa anashindwa kumuomba mwenzie unyumba unategemea nini kwa mwenzio..!!

Nakushauri ondoa hofu na uwe huru kwa mpenzi wako kwani hali hiyo inamfanya mwenzio ajiamini na kujiona ni mwanamume kamili na hata kupelekea utendaji mzuri hata kwenye uwanja wa sita kwa sita......
 
baby naomba uniazime elf hamsini niende saluni kesho nina interview mjini pia sina kiatu kizuri natamani ninunue kipya...pls baby najua nakusumbua but sitorudia tena....
Ni kweli bby unanisumbua kuniomba kiasi kidogo km hicho, au unataka kuapply TCU?
 
Mimi ni msichana nina mpenzi wangu ambaye nampenda ila nikiwa na shida huwa najishauri sana kumuomba hela,sipendi hiyo hali lakini nitafanyaje,sina kazi na bado nasoma,japo nikimuomba ananipa lakini sijui huwa anajisikiaje.

Huwa natumia njia ya simu kumuomba kwasababu nikiwa nae nashindwa kabisa kumwambia yani sielewi namuogopa ama nini.

Please nisaidieni wanaume huwa mnachukuliaje wapenzi wenu wanaowaomba hela ila mimi mpaka nikiwa na shida kubwa, please help.

Acha kabisa dada yangu
Nakushauri mimi kama mmoja wa WANAUME mara nyingi msichana anayekuwa na ujasiri wa kuomba pesa tunamchukulia kama chombo cha starehe..
.......na sisi imani yetu ni kuwa mwanamke akikupenda hawezi kukuomba pesa anakuwa na aibu.
.......na pia wanaume tunafurahi moyoni tunapotoa kitu bila kuambiwa(kuombwa) kuliko pale tunapoombwa.
........hatokuonyesha kama anakudharau ila utakuja kugundua kuwa hana malengo na wewe hapo baadae
 
black-magic-to-attract-your-girlfriend-91-9602229799.jpg
 
Back
Top Bottom