Don't panic brother. just take it easy.Mkuu hakuna kitu kama hicho duniani, njia sahihi ya kumpata mwanamke yeyote umtakaye ni kuwa na uwezo wa kujiamini ukiwa mbele yake, usafi wako hasa mwili na mavazi, ustaraabu pamoja na kuwa na staha za kutosha. Yaanin ukiwa na hivyo vigezo halafu ukawa unajua kucheza na maneno matamu mdomoni mwako hakika utagegeda wengi sana. Hayo unayosema in uongo mtupu na huwezi kufanikiwa hata siku moja, acha kudanganya watu na mbinu zako za kishule ya msingi:faint2:
Mkuu ili mradi tuu huyo mwanamke awe anakufahamu vigezo vingine sio vikwazo kabisa.
Umeambiwa geuza shuka atakuja mwenyewe akikutafuta.Vp kama ninaemuota hayupo yani sijawahi muona wala mfahamu kuna siku ninaweza kukutana nae ama?? Manaake kuna mtoto mzuri namuota dah! sjui muhindi au muarabu
Hahahahaha...uwiiiii Heaven on Earth dawa yako si hii...tiGO utanipa bila kupenda!!!!
Cc: Kaizer kwa taarifa
source ni mimi mwenyewe. kama huniamini just fanya practical.
source ni mimi mwenyewe. kama huniamini just fanya practical.
Huwa inatokea sana hasa kwa wanaume unapomtamani sana mwanamke na sometimes unaogopa kumwambia labda kwa kuhofia kuwa hauna hadhi au yeye ni matawi ya juu na wewe ni ya chini au sometimes kwa kumuonea aibu tuu huwa unaota unafanya naye mapenzi, mara unapostuka unagundua kuwa ni ndoto tuu na ungetamani iwe kweli lakini hubaki ni ndoto tuu.
Mbinu ifuatayo inaweza kukusaidia.
Mara tuu unapostuka kutoka katika ndoto kama hiyo, haraka sana geuza shuka uliyoitandika kitandani kwako na ile uliyojifunika pia kisha endelea na usingiz wako.
Yani, shuka uliyoitandika itoe ule upande ulio juu uwe chini and vice versa, na ile shuka uliyojifunika vivyo hivyo.
Unajua nini kitatokea?
Na yeye yule uliyemuota muda huo huo kama yupo usingizini ataota exactly the same ndoto kama uliyoota wewe, yani ataota unamgegeda.
Kesho yake ukisha amka mtafute na usipitishe siku mwombe gemu, hakatai. hata awe nani hachomoki.
NB: Mbinu hii imefanyiwa utafiti na imekuwa proved.
Kumbuka inafanya kazi kama na yeye mhusika kwa muda huo atakuwa amelala hivyo inashauriwa ifanyike wakati wa usiku.
^^
Ha ha ngoja nijaribu Kuna mwanamke mmoja humu jamvini namuota kila siku,tatizo matawi ya benki..
Ntakuletea majibu
^^
hahaahhaahaa mbinu nyingine ni matata ..lol.!
ukose saut ya kumpa mtu za uso unasubir ndoto teh teh
haahaahaa na madame B wetu atakaa kwa wapi teh teh