Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Basi muonekano wako uko ki wale wa mama mashuga mammy singo maza, na waliojichubua.
 
Ulikuwa umefichwa sasa mapenzi yameisha naona umerudi kijiweni! Ukipata buzi jengine utapotea kama kawaida yako
Ndo kawaida yangu kumbe unajua huku jf mabuzi yapo mengi sana tena wazeee nawapenda hatar wanajua kulea
 
Hio ndio sababu unaombwa pesa coz ungekuwa mzuri ungehongwa...so Jamaa kafuata papuchi tu na hela coz wewe humvutii zinamvutia pesa zako...

Kibao kimegeuka siku hizi heheheh wanaume wa Dar shikilieni hapohapo
Heeee saivi hakuna mzuri wala mbaya wote tunaombwaa pesaaa wanaume mmekuwa ombaomba mxeeew
 
Kasoro mm humu insta babe ndio sina hela hapa najiandaa kuja kukuomba

Nina swali [la kijinga].

Huwa napenda kujua majina ya watu yanavyotamkwa kwa sababu si mara zote hutamkwa vile yanavyoandikwa.

Hilo jina lako, Shunie, linatamkwaje?

Linatamkwa ‘Shuni’ bila hiyo ‘e’ hapo mwishoni?

Au linatamkwa ‘Shunie-e’ na hiyo ‘e’ hapo mwishoni?
 
Kijana upo
 
Back
Top Bottom