Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Sio wanaume wote ila ni tabia ya uyo mme wako
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew

Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.

Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.

Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew

Demiss mahela .
 
Kwani kumsaidia pesa akupendea ni kosa?,amwombe nani sasa wakati mnatakiwa kusaidizana pale panapohitajika!
 
Uwe na adabu pumbav..sio wanaume wote wako hivyo ...kama umeombwa pesa be specific umtaje na jina lake na anapoishi sio unafanya jumla wengine tuna heshima zetu shika adabu
Hahaa
 
Back
Top Bottom