Wanaume mnaboa mnaomba sana pesa

Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
100,504
Likes
285,798
Points
280
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
100,504 285,798 280
aaaaah insta babe ww upo vizur sanaaaaa.. yale matrip ya south sio ya kitoto ujue
mxxiuuu trip my foot namlaumu sana huyo unayenifananisha nae hajui tu anavyozidi kuniharibia passport yenyewe sina nikisafiri nipo tanga kwetu
 
Jimmie Gatsby

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
2,321
Likes
4,058
Points
280
Jimmie Gatsby

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
2,321 4,058 280
mxxiuuu trip my foot namlaumu sana huyo unayenifananisha nae hajui tu anavyozidi kuniharibia passport yenyewe sina nikisafiri nipo tanga kwetu
hahahah insta babe yani me kila nikianza kuamini yule siyo ww nikiangalia hii avatar kuna karoho kanasema ndio huyuuu huyuuuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
100,504
Likes
285,798
Points
280
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
100,504 285,798 280
hahahah insta babe yani me kila nikianza kuamini yule siyo ww nikiangalia hii avatar kuna karoho kanasema ndio huyuuu huyuuuu
Hahahahah akiii sio mm insta kwenyewe sipogo mie nimefunga mda acc yangu hivi mwisho wa siku insta baby unataka tukimbiane eenh naona ndio lengo lako
 
pem

pem

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Messages
650
Likes
535
Points
180
pem

pem

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2016
650 535 180
Uwe na adabu pumbav..sio wanaume wote wako hivyo ...kama umeombwa pesa be specific umtaje na jina lake na anapoishi sio unafanya jumla wengine tuna heshima zetu shika adabu
 
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
100,504
Likes
285,798
Points
280
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
100,504 285,798 280
Uwe na adabu pumbav..sio wanaume wote wako hivyo ...kama umeombwa pesa be specific umtaje na jina lake na anapoishi sio unafanya jumla wengine tuna heshima zetu shika adabu
 
Jimmie Gatsby

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
2,321
Likes
4,058
Points
280
Jimmie Gatsby

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
2,321 4,058 280
Hahahahah akiii sio mm insta kwenyewe sipogo mie nimefunga mda acc yangu hivi mwisho wa siku insta baby unataka tukimbiane eenh naona ndio lengo lako
hahahahah.... naanzaje kukukimbia insta babe akati me nikiona mgongo tu naweza kujua hadi front pakoje ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
7,030
Likes
8,555
Points
280
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
7,030 8,555 280
Mzee mama Demiss ndani ya mjengo. Karibu sana kijiweni.
 
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Messages
1,590
Likes
1,322
Points
280
chizcom

chizcom

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2016
1,590 1,322 280
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew

Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.

Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.

Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew

Demiss mahela .
njoo ukae na mimi.ujue tunaenda sawa na sera ya viwanda kuelekea korosho 2020.uje utoe huzi mwengine.shabasiii
 
espy

espy

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
50,119
Likes
61,744
Points
280
espy

espy

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
50,119 61,744 280
Hahahaaaa! Demiss nilikumiss mama karibu tena.
 
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Messages
9,425
Likes
10,224
Points
280
Ulweso

Ulweso

JF-Expert Member
Joined May 24, 2016
9,425 10,224 280
Mweee Demiss habari za siku afadhali umerudi mwaka karibia unaisha, karibu tena
 
Nas Jr

Nas Jr

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2018
Messages
1,884
Likes
1,168
Points
280
Nas Jr

Nas Jr

JF-Expert Member
Joined May 15, 2018
1,884 1,168 280
mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew
Hio ndio sababu unaombwa pesa coz ungekuwa mzuri ungehongwa...so Jamaa kafuata papuchi tu na hela coz wewe humvutii zinamvutia pesa zako...

Kibao kimegeuka siku hizi heheheh wanaume wa Dar shikilieni hapohapo
 
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Messages
530
Likes
481
Points
80
Suriya

Suriya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2015
530 481 80
Hato kujibu quote yako
Hio ndio sababu unaombwa pesa coz ungekuwa mzuri ungehongwa...so Jamaa kafuata papuchi tu na hela coz wewe humvutii zinamvutia pesa zako...

Kibao kimegeuka siku hizi heheheh wanaume wa Dar shikilieni hapohapo
 
Mwanyasi

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Messages
7,749
Likes
4,842
Points
280
Mwanyasi

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2010
7,749 4,842 280
Bina naomba ninubulie Jack Daniels nifungue weekend
 
Detective J

Detective J

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
7,095
Likes
8,250
Points
280
Age
26
Detective J

Detective J

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
7,095 8,250 280
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew

Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.

Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.

Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew

Demiss mahela .
Sio wanaume. Sema mwanaume wako wa dar. Wengine hatuombi tunatoa tu pesa.
Uwe unatofautisha kati ya kijimwanaume chako na wanaume wengine, kama amekupiga mizinga usije ukachafua wote
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
12,142
Likes
15,836
Points
280
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
12,142 15,836 280
Nakuona demiss the boss lady!!
Mmezidi sana nimewavumulia nimechoka mmezid sana kuomba mxeeew

Yani mwanamme akijua una kazi tu inayoingiza mshahara mwisho wa mwezi atakusifia hata kama sura lako baya Ili mradi akuingize laini akutapeli.

Mambo ya kuombana hela mm sitak bhn agggr.

Nimesema sitak kuombwa pesaaa .
Nilipokuwa sna kazi hata sm ulikuwa hupigi saivi umejua Nina kazi simu kila saa unanisifia Nina umbo namba nane wakat najijua mm ni mbaya alafu hapohapo unaniomba hela mxeeew

Demiss mahela .
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
22,223
Likes
5,438
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
22,223 5,438 280
Mkipeana pesa sio mbaya hata sisi huwa tunachoka kuombwa
 
Forum statistics

Threads 1,237,176
Members 475,465
Posts 29,280,339