Sintah hebu tupe solution sasa sio kutulaumu tuu ,tufanye nini sasa ?
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!
Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.
Hebu badilikeni bwana!
Kulala kwa hadhira ni uzembe wa fanani.
Pole sana Sintah yamekukuta mama
Mi nikushauri ubadili kidogo Kichwa cha Habari hii na isomeke hivi "Wanaume wa Dar mlilogwa na nani?"
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!
Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.
Hebu badilikeni bwana!
atoto afya ya uzazi hivi sasa ni tatizo kubwa sana kwa pande zote wanaume kwa wanawake, lakini halipewi kipaumbele kila mmoja analalamika kivyake vyake wakati tatizo linakua kwa kasi ya ajabu hivi sasa ukitembelea mitandao mingi ya kijamii maada nyingi zinagusa hili suala kwa angle tofauti tofauti lakini sion hata watu kuiobuka na kufanya utafiti juu ya hili tatizo, miezi michache ilitokea case kama hii huko Rombo watu wakaichukulia poa na kuifanya sehemu ya utani wakati ni suala nyeti sana kwa ustawi wa jamii.Ni wanaume wachache ujikubali kuwa wana tatizo, ila wengi hujitamba wako vizuri lakini hili ni tatizo kubwa linalokua kwa kasi, wanaume watch out, msiichukulie hii mada kirahisi rahisi tu na kujisifia sifia tu humu.

Jaribu wa vijijini..
Wanawake tunahitaji mabadiliko.......:behindsofa: