Wanaume mna tatizo gani?

Wanaume mna tatizo gani?

Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!

Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.

Hebu badilikeni bwana!

kipochi manyoya chako ktakuwa tayar pwa pwa pwa pwa pwa pwa...
maana midume iliyo kuhemea inaonyesha ni ming enh???
 
Hebu karibia ujihakikishie sintah.Kisha ulete mrejesho humu kama kweli ni wanaume wote!
 
Last edited by a moderator:
Aiseeeee

sintah tutabadilika asante kwa ushauri!
 
Last edited by a moderator:
Mimi na Rafiki zangu hapa katika Chuo Kikuu cha Muhimbili tumegundua kitu na Kimewasaidia wengi mno.

Solution
-Kama Unapiga Punyeto kwanza Acha pia toka kwenye magroup hatarishi acha kuangalia x

-Nimefatilia wagonjwa wengi wakija wanakua hawana tabia za kufanya mazoezi ikumbukwe pushup kama za Magufuli ni mazoezi ya Mikono tuu na kifua tuu hivyo watu wengi wenye tatizo hili hawafanyi mazoezi ambayo yatasaidia kuondoa mafuta mwilini

Hivyo Kama unataka kuwa bora kitandani ni Kufanya mazoezi hasa ya Kukimbia at least 10-12Km per day Guys kumbuka unavyokimbia viungo vyote hufanya kazi hata mashine yenyewe inakua ndogo Mtu mwingine anaweza kusema kua atawezaje kukimbia Kilometer zote hizo Just anza kido kidogo mwili wa binadamu unazoea haraka mno.

- Tiba ya Kukimbia ni ya miezi 8 ikiambatana na mazoezi ya Tumbo na Squats at least uweze Kupiga 300 au 500 ndani ya miezi nane kama kweli suala linakukera Miezi 8 ni midogo kuvumilia na Kurudi katika hali ya kawaida kumbuka katika kipindi hicho unafanya mazoezi Ki saikolojia unaongea kimoyo moyo mwezi funi nikimkamata demu napiga mpaka 6 hivyo maisha yako ya kawaida yanabadilika hivyo wanawake watakua wanakukimbia wenyewe haya ni maelezo machache lakini nataka kuyafungulia uzi ila vijana wengi wamepona

-Pia inashauriwa kabla ya Sex acha Kula kwa sifa na kuvimbiwa Kwani ukila chakula kupita kiasi huleta uvivu na Usingizi huwa ni chanzo cha kupiga bao moja na kulala.

Dawa hii huwaongezea uwezo hata watu wanaofika kileleni mapema.

Good evening!!!!
 
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!

Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.

Hebu badilikeni bwana!

Idadi Si Hoja, Hoja N Hicho Kimekufikisha Kileleni?
 
Siku hizi kuna matumizi ya redbull ina maana nazo haziwasaidii,maana soko lake ni kubwa balaa
 
Tatizo langu nachelewa kufika kileleni mwenzangu kashafika,msaada pliz
 
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!

Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.

Hebu badilikeni bwana!

Umefanya utafiti kwa wanaume wangapi mpaka sasa? maana kwangu sijakuona ukipita...
 
Umeniwahi maana nilitaka nije na mada inayosema, 'Wanawake mna matatizo gani?'
Maana kila mwanamke ninayempata nikipiga cha pili tu hoi anataka tulale kwanza. Ukimuacha alale ndiyo imetoka akiamka anasema tutaendelea tena kesho.......wakati ndiyo kwanza naanza
 
Tatizo langu nachelewa kufika kileleni mwenzangu kashafika,msaada pliz

Jamani my ex Viol upo? Sijakutia machoni siku nyingi hadi nilianza kukusahau jamani!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom