4400
Senior Member
- Aug 29, 2015
- 122
- 44
Mkuu hata wao wanaathirika sana tu esp kwenye swala la kushika mimba..
Sio kushika mimba tu kuna wanawake hata ufanye romance unalia unakuta asee hawaivi na ukimpiga akafika kileleni we umejichelewesha hataki tena, na pia vyakula cjui nin wanawake wengi pia hawajui kujishughulisha uwanjani cjui wamelishwa maharage ya wapi?