Wanaume mna tatizo gani?

Wanaume mna tatizo gani?

Lakn mbona wao ndo hulalamika zaidi..nimechoka bby..subir dear..inakuwaje hili?
 
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!

Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.

Hebu badilikeni bwana!

Kwani wewe kwa wastani unapenda kutandikwa vingapi mkuu!
 
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!

Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.

Hebu badilikeni bwana!

Tatizo lako unakimbilia mabishoo wanyenyua vyuma ambao wengi wao ni choko.....good things come in unattractive packages!
 
Yaani unakuta mtu mwili mzuri, kifua cha mazoezi anapiga ma push-up vizuri lakini kunako sita sita hakuna kitu, yeye kimoja tu anakoroma kama kameza cherehani, au ndo hizi kuku za kisasa mnazokula? Halafu unakuta mtu kila jioni anaenda kula pweza sasa sijui hazimsaidii!

Aaaaaagh, ukipigwa chini unaanza kulalamika. Nimetumia wanaume maana ni wanaume wengi wa hapa mjini ni shida kweli kwel hata mashost wanalalamika sana.

Hebu badilikeni bwana!

Mkiambiwa mtulizane... mnadai mnataka kupata radha tofauti tofauti, haya sasa ndo madhara ya kugongwa na midume tofauti tofauti ktk umri mdogo. Vumilieni tu mliyataka wenyewe.
 
dah mi mbona hamni test Sintah? Ntafute unijaribishe kwa mashost zako halafu feedback iwekwe hapa!
 
Tatizo lipo. Ndo maana hata waganga wa jadi na tiba mbadala, katika matangazo yao hukosi kusoma "nguvu za kiume". Tusikwepe jamani.
 
utamu wa pipi mate. je wewe umejiangalia? inawezekana mapungufu yako ukipiga kimoja tu hamu inaisha na jamaa akienda kwengine vitatu anapiga
 
mda c mrefu hicho kibishoo chako kitabadilika na kuwa choko. na 2takipakua pa1 na wewe.
mkitongozwa na marijali mnanata, mnakimbilia wapaka poda. ndio mkaushe nao huko huko, coz mkijileta kwa marijali wakati mwanzo mliringa cc 2tapiga side b.
rabish...
 
MaEx wote waliopita Bado wanaomba friend match, najivunia kwakweli...
Ganda LA ndizi
 
tatizo unakutana na wanaume wa kilimanjaro wanaoishi hapa mjini lazima ulalamike,fanya mabadiliko haraka
 
Ni wanaume wachache ujikubali kuwa wana tatizo, ila wengi hujitamba wako vizuri lakini hili ni tatizo kubwa linalokua kwa kasi, wanaume watch out, msiichukulie hii mada kirahisi rahisi tu na kujisifia sifia tu humu.[/QUOTE
nakuelewa sana.
 
Sure haya matatizo saiz yamezidi na suala c mazoezi ndo humfanya mtu kuwa active ila pia vyakula tunavyokula ni vyanzo vya matatizo ila pia msongo wa mawazo sometimes wanawake mnasababisha msongo
 
Unajua wanaume tuko tofauti tofauti - kama mlivyo wanawake pia. Sasa inaonekana wewe haujawahi kupata watu wa kazi - ambao wanaweza kukushughulikia mpaka ukaomba maji ya kunywa katikati ya mechi (Mtu ambae atakufanya ukisikia tu mechi - unakwenda na dumu la maji la lita tano na kuliweka pembeni). Achana na hao masharobaro na wapaka poda ambao wanafanya "show game". Tafuta watu wa kazi - utaipata tu "game ya ukweli" - Hiyo papuchi inashugulikiwa mpaka inakuwa ya motooooooo - unatafuta maji ya baridi ili uikande ipoe (au unaiweka kwenye A/C au feni ili ipoe)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom