Wanaume mna nini na simu zenu?

Ulipaswa kuomba kuongezewa salio siyo kuparamia simu ya mwenzako kumbuka ni yake siyo ya kwako
 
Babygal why touch my phone *2 in ben pol voice

Tugombane tugombane tuzozane tuzozane
Ukitaka unichunguze umeyaibua mwenyewe

Yaaan nyie wadada mkishija tu simu hata kama siku hiyo ilikua wa furaha kiasi gani lazima itabadilika na kufanya tujute kwamba tulianzaje kuwapa simu in the first place
Nadhani mpo kama CIA agent when comes to phone inspections
 
Kwenye viapo vya ndoa swala la simu halipo maana ni private ya mtu.
 
Wacha uvunjwe mkono tuuuu,manake cku hzi wanawake wengi ndo wanatumia hii gia et nimeishiwa salio
 
Siku ingine u mguse kalio ndo utajua kuwa simu ilikuwa afadhali
 
sim zetu zina mambo mengi madili ya pesa madem sasa ukichukua sim yangu utakuja kujua siri zangu zote.
Unajua utakuta mapicha, videos, madeni tunayodaiwa etc ndio maana tunakuwa wakali
 
Hukutumia usitaarabu kwani ilitakiwa umuombe kwanza kabla ya kuichukua
nilimuomba kwanza lakini Ile nimeshika tuu akasema kuna message na vitu vingine sitakiwi kuviona
 
sim zetu zina mambo mengi madili ya pesa madem sasa ukichukua sim yangu utakuja kujua siri zangu zote.
Unajua utakuta mapicha, videos, madeni tunayodaiwa etc ndio maana tunakuwa wakali
na nyie msiguse simu zetu
 
na nyie msiguse simu zetu

Tatizo lenu ugomvi unatokea kokote yaaan mwaka jana mwishoni niligombana na my gal kisa alikuta text za mimi na rafiki yangu wa kiume
Kuona tu ni mazungumzo marefu ikabidi azikomalia sasa tulikua tunataniana kuhusu ma ex wetu ila sasa picha lilivyogeuka ilikua balaa

Na kosa niliemda kufuata viepe na password ya simu yangu ni birthday yake ilikua rahisi sana kunichunguZa
Nilijuta kuiacha simu rum
 
Ndo hulka ya mwanaume, muulize mama ako enzi zake akishika panga la baba au akikalia kiti cha baba au akilia kijiko na sahani ya baba au kikombe cha baba nini kilikua kinafata achilia mbali gari ya baba nadhani na hivo vitu vilikua vihifadhi data za michepuko
 
hahahha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…