Wanaume mna nini na simu zenu?

Nitahisi huyu mwanamke atakuwa katoka usalama wa Taifa maana haya maswali ndio kawaida yao
 
Asante mkuu Lakin ungeona jinsi alivyoninyonga ungenihurumia kwa kweli aiseeeee[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Hapo hakuna mapenzi dada, tafuta njia mbadala Lakin sio hapo ulipo utajifia bure na mawazo
 
Ww mbona ni jike dume sana ujue mm sikuelewi ohoooooo!!!!!
 
Wanaume ni wa kuishi nao kiakili yaani simu zao full michepuko ndo maana yuko tiyari kwenda nayo chooni dah duniani kuna mengi
Wewe uliagizwa umuheshimu mwanaume,

Yeye aliagizwa ampende mwanamke.

Sasa siku hizi mianamike ilivokosa geshima eti inampenda mwanaume hafu inadai kuheshimiwa, jamani [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Utazani inasoma vutabu vitakatifu kwa vioooo vya saloon, kinyozi ananyolea kulia, kio kinaonyesha kushoto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwan kipind naenda kusajili line tulisajili wote? nikiambiwa naingia jela kisa simu tutaenda wote? we tulia baki na simu yako na mim nibak na yangu
Nimeipenda hiyo haina mjadala
 
ndo mnavyosema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…