Hapa kibaruani kwangu kuna mtumishi mwenzetu mwanamme ana simu yake ambayo inaishi ofisini maalum kwa michepuko!Mkuu naye huyo mmoja ni lazima atakuwa na simu nyingine ambayo mke/mpnz anakuwa haijui, anayoijua ndo anamwachia acheze nayo. Chezea timu wanaume
na mimi nitafanya hivyo ni njia rahis sanaHapa kibaruani kwangu kuna mtumishi mwenzetu mwanamme ana simu yake ambayo inaishi ofisini maalum kwa michepuko!
Huyo ni matatizo, za kwetu tukifika nyumbani ni mali ya watoto, ikiita anakuletea usikilize ukimaliza anaondoka nayo.Habari za leo wanajamvi,
Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba.
Lakini mwenzenu ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu. Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane.
Naombeni kujuzwa
kwa kweli hapo umeliwa mpz me naishika wakati wowote cha hataki tupa kule ya nini kujipa stress na kuvumilia uovu wake kha!kama mpenzi wake siruhusiwi kushika simu? jaman mbna wanaume mna kera yani nimeharibu hadi valentine yangu bora ningelala home tuu
Habari za leo wanajamvi,
Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba.
Lakini mwenzenu ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu. Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane.
Naombeni kujuzwa
hahahahh pole wanaume wana mambo mengiiiiihahahahhaha imeshanitokea hiyo loh ...nilishikwa mkono mpaka nikahisi WWE🙂
Ni kweli kwa hali hiyo alikukatalia, ungeendelea kuwa msitaarabu tu maana mwenye chake ni muungwana na yawezekana angekupatia baadae pia unapaswa kuwa mvumikivu sana.nilimuomba kwanza lakini Ile nimeshika tuu akasema kuna message na vitu vingine sitakiwi kuviona
Asante mkuu Lakin ungeona jinsi alivyoninyonga ungenihurumia kwa kweli aiseeeee[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Mpaka saizi huyo jamaa bado unamuita mume mtarajiwa?Habari za leo wanajamvi,
Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba.
Lakini mwenzenu ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu. Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane.
Naombeni kujuzwa
Sasa nimuite nanMpaka saizi huyo jamaa bado unamuita mume mtarajiwa?
Hahaahaha kazi saaaanaaahahahahhaha imeshanitokea hiyo loh ...nilishikwa mkono mpaka nikahisi WWE🙂
Hahahahahah[emoji38] [emoji38] [emoji38] ndo majibu gani haya mkuu wakati nna machungu mara mbili ya kufiwa na ya kunyongwa
asante[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana! Simu zina siri za michepuko, watoto na familia husizozijua. Lazima ajihami
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Kamata mwizi meen