Wanaume mna nini na simu zenu?

Ungeomba credit, hata ya laki ungepata. Ulivamia privacy ndiyo maana hakukuruhusu.
 
Huna adabu ,,utachukuaje kitu ambacho sio chako bila kuomba,,hv kama ungegombana na mwamamke mwenzio na unaju bastola ya mme wako ilipo c utaifuata uje umtoe ubongo mwenzako,,,
namshukuru Mungu maana ningeitwa central kama wenzangu
 
Wanaume wote ukisema huyu hafai utatafuta sana hawapo wakutumia simu pamoja mmoja kwa mia.
Mi naweza ila sitashea simu na mwanamke maana ukimruhusu ajione hana mpinzani kwako atakutesa mno! Bora asijue kitu chochote hata kama huchepuki.
 
Simu ya mwanaume ni kama kitunguu maji ukiichunguza sana utaishia kutokwa machozi
 
M ngekuongezea na konzi kabisa...... Sim angu unaichukua kama yako akhaa!!
Nachi tuwaachie wahindi [emoji54]
 
Simu zingine zinakuwa na Picha za wakubwa yani pilau so akutaka ufahamu hilo.
 
Kiukweli Mimi huwa wife ana tabia ya kuchukua simu yangu na kupiga.najikaza kisabuni nikisali message za kipuuzi zisiingie
 
Ulifanya kosa kubwa sana katika mahusiano ya siku hizi.
 
Katika vitu ambavyo mwanamke sipendi apekenyue cm yangu! kuna rafik yangu demu wake aliiba sim akawek dp yake jamaa kwa kuwa sio mtu wa sociol network picha ilikaa zaid ya wiki tatu! sometimes mnaboa mnachukua no. za wanawake wetu wengine maboss zetu wa bodaboda! kama mnachukua msifanye kinyemela mambo yenu! its prit dangerous!
 
Sometimes yes, sometimes no mnajitetea tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…