Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
miss chagga kuja huku hujibu mashtaka yako..hii tabia ya kuchezea mioyo ya watu umeanza lini??
Tatizo sasa najiuliza kuwa, nitaanza anzaje kwanza
Last edited by a moderator:
miss chagga kuja huku hujibu mashtaka yako..hii tabia ya kuchezea mioyo ya watu umeanza lini??
Wewe una wengi humuWe nitaje tu.....
Ubora wa nini? kamanda.
Ubora wa kututokea Pm
Shoga angu we acha tu...yaani niliandaliwa na jeneza kabisa ila Mungu akasema NOO.....ila kiukweli nilikuwa naumwa mpaka ilibidi niwe nameza dawa za maumivu ili niweze kutembea na kuzunguka nje. Mzima lakini bibie?
Duh! Pole, it seemz it was Serious.
Ubora wa mboli.
Nakuja!! usiwe na wasi wasi bibie.
Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu wanaume walifanikiwa kupata wapenzi au michepuko humu JF kwamba waliwezaje? Na confidence waliitoa wapi? ya kujiamini kiasi hicho.
Nasema hivyo kwa sababu ukijaribu kufatilia michango na maoni ya watu kuhusu masuala ya kimapenzi, kiuchumi na kielimu utabaini ya kwamba kila mtu JF yuko vizuri sana katika nyanja zote hizo.
Mfano; Mapenzi kila mwanaume ni fundi wa kugegeda tena mwenye uwezo wakumaliza dak. 60 kwa mbao moja, ukiachana na hivyo wanajisifu wanajua sana mapenzi na taaratibu ya kumuweka sawa mwanamke ili umegegede afurahie tendo.
Hapo juu ni mfano moja wapo tu, ya majivuno na masifa wanayojipa wanaume wa JF ukiachana na habari za kila mwanaume wa JF isipokuwa mimi, wote waliobaki wamesoma hadi chuo, na maisha yao kwa sasa yako Dar.
Mbwembwe zote hizo ndio zimenifanya leo niwaulize nyie wanaume muliopata wapenzi humu kwamba muliwezaje? maana mimi naona kama sina vingezo kwa sababu elimu yangu ni darasa la saba kugegeda natumia dak 5 hadi 8 kufunga bao na sijui kuandaa.
Hv Nyani Ngabu ni mwanaume? Huwa nashndwa kuelewa. Leo walau nimejua.
Shika adabu yako we dada.
Yaahhh....ilikuwa serious my dear,Ila nashukuru sijambo
Najua ulitaka kusema Mbou
Ubora wa kututokea Pm
uwiii nakutafuta sana wewe leo tukutane kwenye kubeti
ila usiseme mengine yaleeeeeeeeeeee
mbele ya papuchi hakuna serious ukimjulia wewe unachange topic na jina unaelekea anakotaka plan A ikifeli unakuja na B HUYU UMEMPATIA endelea hadi aingie tunduni aombe poo
Asante shem.
Ila wanaume wa humu nimewavulia kofia....yaani unashangaa ID hujawahi kuiona hata siku moja jukwaani lakini huko PM unashinda na kuamka nayo....daadeqqqq....
Yaani kuna kidume huyo anajifanyaga yuko serious MMU au Siasani au umkute Habari mchanganyiko.....yaani anajifanya hapendi kuwaona wala.kudate na wanawake wa humu....hahahaah,Si nikafungua Id mpya(siitaji asije kushtuka) yaani nashangaa nakesha nae usiku kucha Pm
Asa najiuliza....anadhani mtu mpya au.....kumbe jitu la zamani namchora tu. hahahahaah!!!!
Ndo yale ya 'New wine in old bottle'