Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Loo hii topic imenifanya nichangie tu daaa watu mko vizuri sana aisee ila humu kuna watu wanambwembwe za hatari daaa shida hii bora yako Shyland
 
Last edited by a moderator:
Loo hii topic imenifanya nichangie tu daaa watu mko vizuri sana aisee ila humu kuna watu wanambwembwe za hatari daaa shida hii bora yako Shyland

MankaM kuanzia leo nakuomba uelewe kwamba hii thread imenipatia rafiki humu JF ambaye ni Madame B
 
Last edited by a moderator:
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....

13 wachache sana. Mi ngoja nianze kukutajia nadhani wanagonga 22. NaimaOmari , WomanOfSubstance, Shy, Bint wa Kinyak
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu , tulitisha sana enzi zile za miaka ya 2008 / 2009, enzi za kina Fidel80 na wengineo full kupokezana milupo ya JF. Nimekuja na ID mpya atleast nivipate hivi vidotcom vya 2013 wanione mpya mwenzao😄😄😄😄
 
Last edited by a moderator:
Wakati huo wakana masai dada wanasoma!!

Hivyo vinuka mkojo. Sasahivi JF haina mademu wako vicheche tuu. Mpango mzima sasahivi ni mitandao ya eritrea na ethiopia habesha gals. Unawalipia airtickets na few days hotel za dar unakula kitu roho inapenda.
 
Last edited by a moderator:
Hivyo vinuka mkojo. Sasahivi JF haina mademu wako vicheche tuu. Mpango mzima sasahivi ni mitandao ya eritrea na ethiopia habesha gals. Unawalipia airtickets na few days hotel za dar unakula kitu roho inapenda.

Jini kapita
 
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....

Wacha wee!! 2015-2006= 9; miaka 9/wanawake 13= wanawake 0.6 kwa mwaka. Kawaida sana, ila hala hala......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom