Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Ila mkuu siku za hivi karibuni umeamua kujiweka kundi cheap sana, sijui ni ile mivurugano? "tafadhali mkuu usiruhusu kuchezeshwa we cheza ngoma yako yako tuliyo kuzoea nayo"

napita tu....
Na wewe unataka nikumege?
 
Ila mkuu siku za hivi karibuni umeamua kujiweka kundi cheap sana, sijui ni ile mivurugano? "tafadhali mkuu usiruhusu kuchezeshwa we cheza ngoma yako yako tuliyo kuzoea nayo"

napita tu....

Acha tumchezee....keshakuwa simba mzee,hawezi kumng'ata demu yeyote kipindi hiki.
 
Ila mkuu siku za hivi karibuni umeamua kujiweka kundi cheap sana, sijui ni ile mivurugano? "tafadhali mkuu usiruhusu kuchezeshwa we cheza ngoma yako yako tuliyo kuzoea nayo"

napita tu....
Hee... babu we hebu muache tujidai nae.
 
Atuache....
We mpande mgongoni mie nitampanda tumboni

Kwanza wao humu kimewaleta nini?
Uzi wenyewe ukiangalia Heading tu kama kweli mtu wa misimamo hupiti.

Sasa yeye hadi comment ina maana nae ni mshabiki.
 
Kwanza wao humu kimewaleta nini?
Uzi wenyewe ukiangalia Heading tu kama kweli mtu wa misimamo hupiti.

Sasa yeye hadi comment ina maana nae ni mshabiki.

Ndio hao ukiawaanza tu,wanajifanya kuja Pm.
Atutokee hapa....eti 'yuko serious',awe serious ye Mugabe?....
Kwanza Mugabe mwenyewe na userious wake ikifika night anaweka gwanda pembeni na kuanza kucheza kidali po na mkewe......sembuse sisi!!!!!
Kwanza wamempima utu uzima wake?
Au wanaleta ashuo la gagulo...likilegea mpira,unalikuta magotini.

Hebuuuuu.......
 
Ila mkuu siku za hivi karibuni umeamua kujiweka kundi cheap sana, sijui ni ile mivurugano? "tafadhali mkuu usiruhusu kuchezeshwa we cheza ngoma yako yako tuliyo kuzoea nayo"

napita tu....

Oh stop it.

You don't know me like that.

My life is great.

So what mivurugano are you talking about?
 
Hee... babu we hebu muache tujidai nae.

It's called having fun.

Sasa kuna watu wao kwenye maisha yao hata kucheka ni maajabu.

Sasa yeye usikute anachukulia kila kitu serious.

Usikute anadhani hata jina langu la ukweli ni Nyani Ngabu.

Wapumbavu kama hao ni wa kupuuzwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom