Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu.

Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza wajibu wake kadri awezavyo.

Wanawake ni viumbe ambao ni very appreciative, wavumilivu sana. Ukiacha wanawake wanaojiuza, hadi mwanamke alie kwenye mahusiano aamue kuchepuka basi amevumilia mengi sana na ameongea mengi sana na hayajafanyiwa kazi na kwa akili ya wanawake atachujulia amedharaulika.

Turudi kwenye hoja, mimi binafsi najisikia vibaya kula wake za watu, wengine walikua wapenzi wangu kabla ya kuolewa, wengine tunakutana tu mitaani lakini nakua sina namna inanilazimu tu kuwala hivyo hivyo mara maana hakuna namna nyingine sasa(kwa sauti ya Pinda).

Pia tunapooa, tusiwachukulie hawaviumbe poa, usisahau kua ulimchukua kutoka kwa mtu mwingine, labda kama ulioa bikra.

Mwanaume hata kama unalewa basi usiipe pombe kipaumbele kuliko mwanamke, kuna bwege mmoja aliambiwa aache pombe anamwambia mke wake, bora niache mke kuliko pombe. Huyu tumemshikisha adabu, analea mtoto wa mtu kiroho safi tu. Lipo wazo aongezewe mtoto wa pili, na atapewa tu.

Huu ni ushauri wa bure tu kwa wanaume wenzangu, jitahidini kutimiza wajibu wenu hasa mlioko kwenye ndoa. Watu wengine hatujisikii vizuri kula wake zenu lakini inatulazimu, unakaa na mke mwezi, miezi 2 hujamtia, eti uko busy, unachoka, unalewa sana, mtatulelea sana watoto wetu.
 
Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza
Basi hapo unajiona mjanjaaa. Hakuna dhambi mbaya na yenye gharama, mikosi na nuksi maishani kama ya kula mke wa mtu. Sasa wewe furahia tu lakini utakuja kuona matokeo yake kwako mwenyewe, familia yako na watoto wako huko mbele ya safari.

Mfalme Daudi alijifanya mwamba lakini dhambi ile ilimtesa sana pamoja na familia yake - vifo, matoto kubakana, mengine yanauana na hata litoto limoja likaishia kuwa na wake 700 na michepuko 300. Alisamehewa dhambi yake ya kulala na kuzaa na mke wa mtu lakini madhara yake yaliendelea mpaka vizazi na vizazi.

Ndoa ni taasisi takatifu sana mbele ya Mungu. Usiiingilie!
 
Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu.

Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa

Wasiotaka kuwajibika watakuja kukunanga ila imepenya hii💊💉

Mwanaume kuwa kichwa cha familia ni mpango wa Mungu na mwanamume kutimiza wajibu wake ni utaratibu wa Mungu

Mungu awatunze wanaume na kuwabariki katika kutimiza majukumu yenu
 
Sisi waume za watu wala habari hatuna maisha yetu yanasonga tu.
E-oFk44WYAEJZyZ.jpeg
 
Huu uzi niliuona saa 11 alfajiri.

Nikaupita kwakua nilikua natakiwa nipige maombi nikahofia nitakuta ujumbe mbovu.

Mzee haujaandika huu uzi ile alfajiri ili kutupa habari jinsi ulivyo mwamba katika kutiana.

Umeandika muda ule kwakua guilty consciousness inakusumbua.

Hauko free na unajua kua hauko free.

Good luck.
 
Kumegwa kiboya ni hulka ya mwanamke Malaya. Ukioa Malaya hata ukimpa jiji zima la Paris na fahari zake anaweza kumegwa na super star wa JamiiForums, Dj DON NALIMISON

Swahiba mtu akioa mwanamke mwenye hulka ya umlaya hilo ni swala lingine, sababu mwanaume ndio muamuzi na muoaji.

Hapa Mtoa maada hajalenga kundi hilo ila amelenga wale wanaume waliojaliwa kuoa wanawake sahihi lakini hawatimizi majukumu ya mume kwa wake zao.

Wanaume kutunza wake zenu kitu muhimu mnoooo, sanaaaa. Heri kufanya wajibu wako kama mume ili akikucheat ujue ni wewe mwenyewe ulikosea kwenye kuchagua mke. Kuliko usimtunze maana utakua unamsukumia kwenye mazingira hatarishi

Basi hapo unajiona mjanjaaa. Hakuna dhambi mbaya na yenye gharama, mikosi na nuksi maishani kama ya kula mke wa mtu. Sasa wewe furahia tu lakini utakuja kuona matokeo yake kwako mwenyewe, familia yako na watoto wako huko mbele ya safari.

Mfalme Daudi alijifanya mwamba lakini dhambi ile ilimtesa sana pamoja na familia yake - vifo, matoto kubakana, mengine yanauana na hata litoto limoja likaishia kuwa na wake 700 na michepuko 300. Alisamehewa dhambi yake ya kulala na kuzaa na mke wa mtu lakini madhara yake yaliendelea mpaka vizazi na vizazi.

Ndoa ni taasisi takatifu sana mbele ya Mungu. Usiiingilie!
Sioni kosa akisaidia kumtoa hamu huyo dada, wanaume wengi huwa wanajifanyaga busy na kazi hata mda na mke hawana Sasa unategemea nini, na hivi sikuhizi wanaume Wana nguvu kiduchu za kiume ndio haswa wanawake watachepuka sana na watu wakuwaridhisha
 
Mwanamke akisimama vyema kwenye nafasi yake nyumba ni lazima iwe pepo ndogo.

Swala la nguvu za kiume hata mwanamke ana wajibu wa kulitatuwa na uwezo huo anao.

Unapotaka kufikishwa kileleni jiulize je wewe mwenyewe unamfikisha mwanaume kileleni, mwanaume kukojowa siyo ndio kufika kwake kileleni kwani hata ukipiga punyeto unakojowa vizuri tu.

Swali linabaki palepale ni kwa nini nyumba ndogo huwa zinapinduwa nyumba kubwa?
 
Mwanamke akitunzwa vizuri akashindwa kusimama kwenye nafasi yake huyo sio mke.

Mwanaume akifanikiwa kumtunza vizuri mkewe kwa kumpa vya rohoni na mwilini, mwanamke ataigeuza ndoa paradiso wala hiyo hamu ya mke na kilele kitakua sio cha kutafutwa na kupigiwa hesabu. Mtajikuta tuu mambo yanabalance bila hata kutumia nguvu

Wanaume tafuteni vya kututunza na sisi tutawanza nyie na vyote mnavyovitafuta🤑🤑🤑😍🖐
 
Back
Top Bottom