Wanaume mliooa jitahidini kutimiza wajibu wenu kadri inavyowezekana

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
3,329
2,000
Basi hapo unajiona mjanjaaa. Hakuna dhambi mbaya na yenye gharama, mikosi na nuksi maishani kama ya kula mke wa mtu. Sasa wewe furahia tu lakini utakuja kuona matokeo yake kwako mwenyewe, familia yako na watoto wako huko mbele ya safari.

Mfalme Daudi alijifanya mwamba lakini dhambi ile ilimtesa sana pamoja na familia yake - vifo, matoto kubakana, mengine yanauana na hata litoto limoja likaishia kuwa na wake 700 na michepuko 300. Alisamehewa dhambi yake ya kulala na kuzaa na mke wa mtu lakini madhara yake yaliendelea mpaka vizazi na vizazi.

Ndoa ni taasisi takatifu sana mbele ya Mungu. Usiiingilie!
Mkuu,

Kama umeoa, mi nafikiri ni muhimu sana kutimiza majukumu yako kama mume kwa mke wako. Hivi vitisho vya ku quote mistari nk havitasaidia chochote. Hayo matatizo yote uliyoyataja yakitaka kukupata yatakupata tuu hayaangalii kwamba ulitembea na mke wa mtu ama la!
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,063
2,000
Mwanamke akitunzwa vizuri akashindwa kusimama kwenye nafasi yake huyo sio mke.

Mwanaume akifanikiwa kumtunza vizuri mkewe kwa kumpa vya rohoni na mwilini, mwanamke ataigeuza ndoa paradiso wala hiyo hamu ya mke na kilele kitakua sio cha kutafutwa na kupigiwa hesabu. Mtajikuta tuu mambo yanabalance bila hata kutumia nguvu

Wanaume tafuteni vya kututunza na sisi tutawanza nyie na vyote mnavyovitafuta
Lile draya la saloon ukiweka mikono linaunguza kabisa, sasa imagine kuna binadamu anaingiza kichwa kabisa tena kwa masaa huo ubongo unabaki salama.

Wafuatilie vizuri wanawake wanaonyowa nywele utaelewa kitu ambacho hukuwahi kukijuwa na kama haitoshi nenda makanisa ya walokole angalia ni jinsia gani inayotolewa mapepo kila siku.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,051
2,000
Mkuu,

Kama umeoa, mi nafikiri ni muhimu sana kutimiza majukumu yako kama mume kwa mke wako. Hivi vitisho vya ku quote mistari nk havitasaidia chochote. Hayo matatizo yote uliyoyataja yakitaka kukupata yatakupata tuu hayaangalii kwamba ulitembea na mke wa mtu ama la!

Mwanaume akioa mwanamke sahihi yule wa kufanana nae☝️
Na akasimama kwenye nafasi yake kwenye kutimiza wajibu wake kama mume✌ hakuna mwanamke anaweza shindikana👋
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,051
2,000
Lile draya la saloon ukiweka mikono linaunguza kabisa, sasa imagine kuna binadamu anaingiza kichwa kabisa tena kwa masaa huo ubongo unabaki salama.

Wafuatilie vizuri wanawake wanaonyowa nywele utaelewa kitu ambacho hukuwahi kukijuwa na kama haitoshi nenda makanisa ya walokole angalia ni jinsia gani inayotolewa mapepo kila siku.

Kwani lazima ukachukue wa kukaa kwenye draya?? 😂😂😂 maana wanawake wote wanatumia hizo mambo za saluni. Hapo Shida ya kwanza inaanzia kwenye kuchagua kisichokua aina yako au size yako

Na usasahau pia kwamba wanawake ni wengi kwa idadi na wao ni wahudhuriaji wa ibada kuliko wanaume
 
1kush africa

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
8,938
2,000
Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu.

Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza wajibu wake kadri awezavyo.
Bachela mwenzetu mbona umetoa dhihaka,kejeli alafu ukajimwambafai
Sasa hapo ushauri uliotoa haujafika kwa weledi.

Mtu aliye oa ni vyeme akapata ushauri kupitia kwa waoefu na ndoa

Ila wewe wanakuona unawachora tu.

Au WANAZENGO MNASEMAJE?
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,063
2,000
Kwani lazima ukachukue wa kukaa kwenye draya?? maana wanawake wote wanatumia hizo mambo za saluni. Hapo Shida ya kwanza inaanzia kwenye kuchagua kisichokua aina yako au size yako

Na usasahau pia kwamba wanawake ni wengi kwa idadi na wao ni wahudhuriaji wa ibada kuliko wanaume
Labda unataka ligi tu, au umuoni Chifu Hangaya kila wakati anatutajia jinsia yake kana kwamba sisi hatujui yeye ni mwanamke?
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
9,550
2,000
Huwezi kumridhisha kiumbe mwanamke,
utamtimizia 99 kati ya 100, iyo moja iliyobaki ataitafuta kwa kugongwa nje
 
Perth

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
3,251
2,000
Bro yupo sahihi kabisa hakuna viumbe rahisi kama wake za watu ambao ktk ndoa zao wanaona mateso, tujitahid jamani kuplay part zetu mfanye ajiskie kupendwa na kutimiziwa, wajameni
 
Castle_Lite

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
733
1,000
Kwakweli tujitahidi kufanya wajibu wetu na tupunguze starehe nyingine zinazowakera wenza wetu.

Anyway, kwa upande mwingine.
Atagongwa tu, ataosha na atarud nyumban kwa sababu ameolewa.

Nyinyi mnaotongoza/kutembea na wake za watu ni washenzi tu kama washenzi wengine na msitafute sababu ya kujisafisha kwenye hilo.

Narudia tena, ni mtu mshenzi tu kutongoza mke wa mtu.

Wanawake kibao wapo, tafuta wako umtunze, sio kutafuta aliyetunza tayar ili uteleze. Na kukwepa majukumu ya kumtunza.
 
JABALI LA KARNE

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,477
2,000
Mkuu,

Kama umeoa, mi nafikiri ni muhimu sana kutimiza majukumu yako kama mume kwa mke wako. Hivi vitisho vya ku quote mistari nk havitasaidia chochote. Hayo matatizo yote uliyoyataja yakitaka kukupata yatakupata tuu hayaangalii kwamba ulitembea na mke wa mtu ama la!
Kwanini upo duniani? Una muda gani wa kuishi duniani? Ukiweza kujijibu haya maswali kuna mambo utagundua hayanaga maana.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
14,051
2,000
Labda unataka ligi tu, au umuoni Chifu Hangaya kila wakati anatutajia jinsia yake kana kwamba sisi hatujui yeye ni mwanamke?
Nyie si mlimwambia kwamba hawezi kuwaongoza sababu yeye ni mwanamke? Alichomaanisha ni kwamba jinsia sio inayofanya kazi sio jinsia ya kiume useme sababu yeye ni wa kike hawezi...
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,810
2,000
Nyongeza.......

1. Hakikisheni mnawagegeda vyema wake zenu..... sio ndani kimoja cha sekunde 2 nguvu unamalizia nje.... utakuja kulaumu kuwa wanawake hata wapewe kila kitu watasaliti..

2. Tunza mkeo lasivyo waja watakutunzia

3. Tenga muda na mkeo....la sivyo utakuja laumu dunia

4. Heshimuni wake zenu...msiwadharau...micheps isiwape kiburi cha ujinga...wadekezeni wajalini ...kuna wanaume wanajua kudekeza wake zenu wakiangukia humo kwisha habari zenu

5. Heshimuni ndoa zenu... hata ukichepuka hakikisha mkeo hajui. Sio mnafanya umalaya hadi kwenye pua za wake zenu....kila shimo mnalitaka nyie.
Hawa wanawake Watasemehe mara moja mbili....wakiota usugu mtajuta...mtagongewa mpaka na "bodaboda" wenu!!!! Atakaa kwa ajili ya watoto ila Wenzio watajipigia mpaka wakimbie wenyewe

6. Toka na mkeo (kuna viumbe ukimuona kaongozana na mkewe ni msibani , site au shopping za watoto...... ngoja wanaojua kwenda viwanja na wake zenu wawapeleke

7. Acheni kujinunisha hovyo na ukali wa kijinga......kuna mwenzio anabembeleza...anabembeleza na anabembeleza tena....
 
markbusega

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
731
1,000
Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu.

Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza wajibu wake kadri awezavyo.

Wanawake ni viumbe ambao ni very appreciative, wavumilivu sana. Ukiacha wanawake wanaojiuza, hadi mwanamke alie kwenye mahusiano aamue kuchepuka basi amevumilia mengi sana na ameongea mengi sana na hayajafanyiwa kazi na kwa akili ya wanawake atachujulia amedharaulika.

Turudi kwenye hoja, mimi binafsi najisikia vibaya kula wake za watu, wengine walikua wapenzi wangu kabla ya kuolewa, wengine tunakutana tu mitaani lakini nakua sina namna inanilazimu tu kuwala hivyo hivyo mara maana hakuna namna nyingine sasa(kwa sauti ya Pinda).

Pia tunapooa, tusiwachukulie hawaviumbe poa, usisahau kua ulimchukua kutoka kwa mtu mwingine, labda kama ulioa bikra.

Mwanaume hata kama unalewa basi usiipe pombe kipaumbele kuliko mwanamke, kuna bwege mmoja aliambiwa aache pombe anamwambia mke wake, bora niache mke kuliko pombe. Huyu tumemshikisha adabu, analea mtoto wa mtu kiroho safi tu. Lipo wazo aongezewe mtoto wa pili, na atapewa tu.

Huu ni ushauri wa bure tu kwa wanaume wenzangu, jitahidini kutimiza wajibu wenu hasa mlioko kwenye ndoa. Watu wengine hatujisikii vizuri kula wake zenu lakini inatulazimu, unakaa na mke mwezi, miezi 2 hujamtia, eti uko busy, unachoka, unalewa sana, mtatulelea sana watoto wetu.
wewe jifanye unawajua kuliko wanavyojijua wenyewe halafu siku nyingine uje kuomba ushauri au kulalamika hapa
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
42,063
2,000
Nyongeza.......

1. Hakikisheni mnawagegeda vyema wake zenu..... sio ndani kimoja cha sekunde 2 nguvu unamalizia nje.... utakuja kulaumu kuwa wanawake hata wapewe kila kitu watasaliti..

2. Tunza mkeo lasivyo waja watakutunzia

3. Tenga muda na mkeo....la sivyo utakuja laumu dunia

4. Heshimuni wake zenu...msiwadharau...micheps isiwape kiburi cha ujinga...wadekezeni wajalini ...kuna wanaume wanajua kudekeza wake zenu wakiangukia humo kwisha habari zenu

5. Heshimuni ndoa zenu... hata ukichepuka hakikisha mkeo hajui. Sio mnafanya umalaya hadi kwenye pua za wake zenu....kila shimo mnalitaka nyie.
Hawa wanawake Watasemehe mara moja mbili....wakiota usugu mtajuta...mtagongewa mpaka na "bodaboda" wenu!!!! Atakaa kwa ajili ya watoto ila Wenzio watajipigia mpaka wakimbie wenyewe

6. Toka na mkeo (kuna viumbe ukimuona kaongozana na mkewe ni msibani , site au shopping za watoto...... ngoja wanaojua kwenda viwanja na wake zenu wawapeleke

7. Acheni kujinunisha hovyo na ukali wa kijinga......kuna mwenzio anabembeleza...anabembeleza na anabembeleza tena....
Ni ngumu sana kuwaelewa wanawake, kwa sababu hata wao wenyewe hawajielewi.

Hii theory yako not applicable kwa kila mwanamke, inatofautiana kutoka mwanamke ABC na D.

Na kwa wanawake wenye watoto kwa kutokujielewa ujikuta mapenzi yake yote ni kwa watoto na mume wake umchukulia powa tu, hapa ndio source ya mwanaume kutafuta mechi za nje, nimechoka nyingi kuanza kupangiwa mgao wa mbunye kama vile Tanesco na mgao wa umeme nani atavumilia ujinga kama huo?

Mbaya zaidi tuliofikia unaweza hata kufanya booking ya K online na ukafanyiwa supply, sasa katika hali tuliyofikia loser ni wanawake na siyo wanaume, labda tunatofautiana, kuna mazezeta huwa hawakosekani.
 
Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
2,071
2,000
Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu.

Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana. Lakini pia hakuna mwanamke mgumu wa kumtongoza na ukamla kama mke wa mtu ambae mume wake anatimiza wajibu wake kadri awezavyo.

Wanawake ni viumbe ambao ni very appreciative, wavumilivu sana. Ukiacha wanawake wanaojiuza, hadi mwanamke alie kwenye mahusiano aamue kuchepuka basi amevumilia mengi sana na ameongea mengi sana na hayajafanyiwa kazi na kwa akili ya wanawake atachujulia amedharaulika.

Turudi kwenye hoja, mimi binafsi najisikia vibaya kula wake za watu, wengine walikua wapenzi wangu kabla ya kuolewa, wengine tunakutana tu mitaani lakini nakua sina namna inanilazimu tu kuwala hivyo hivyo mara maana hakuna namna nyingine sasa(kwa sauti ya Pinda).

Pia tunapooa, tusiwachukulie hawaviumbe poa, usisahau kua ulimchukua kutoka kwa mtu mwingine, labda kama ulioa bikra.

Mwanaume hata kama unalewa basi usiipe pombe kipaumbele kuliko mwanamke, kuna bwege mmoja aliambiwa aache pombe anamwambia mke wake, bora niache mke kuliko pombe. Huyu tumemshikisha adabu, analea mtoto wa mtu kiroho safi tu. Lipo wazo aongezewe mtoto wa pili, na atapewa tu.

Huu ni ushauri wa bure tu kwa wanaume wenzangu, jitahidini kutimiza wajibu wenu hasa mlioko kwenye ndoa. Watu wengine hatujisikii vizuri kula wake zenu lakini inatulazimu, unakaa na mke mwezi, miezi 2 hujamtia, eti uko busy, unachoka, unalewa sana, mtatulelea sana watoto wetu.
Wewe mbwa utaoa tuu tuone ka utaweza warizisha mbwa wenzako
 
KANYIMBI

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
1,374
2,000
Sikuhizi Mwanaume kutimiza wajibu wake wala sio sababu kuu ya Mke kuonjwa.

Ukweli ni kwamba Wanawake Malaya ndio wanaoolewa sana kuliko wale watulivu.

Mfano mimi Binafsi; Kuna Binti alikuwa mpenzi wangu siku za nyuma, Kwa sasa yeye anafanya kazi Benki na ameolewa na Meneja wa Benki. Anapata mahitaji yote toka kwa Mume wake. Ila mara kwa mara ananitafuta niende nikapashe kiporo.
Nikimuuliza kwa nini hataki kutulia na mumewe, ananiambia kwa sababu mimi ndio nilimuingiza ukubwani kwa kutoa Bikra hivyo nina haki ya kuonjeshwa

Hivyo amehalalisha uchepukaji wake kwa sababu ambayo wala haina ulazima.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom