Tutengekua hatufanyi hizo big things sidhani kama tungelalamikia only little things...shida ya wanawake wa leo you are so fine in judging small issues kuliko mambo makubwa,huwa mnahisi mko sahihi nyie kwanza kuliko mtu mwingine yoyote,unataka upendwe,upewe kila kitu wewe,ufanyiwe yote unayoyakuta kwa jirani na rafiki zako ajabu ni kwamba wewe hutaki na huwezi kufanya hata moja unalotaka ufanyiwe,mahusiano ni kama maji ukiyasafisha na kuyatunza nawe yatakutunza badae utakapo yanywa
Mume wako alilelewa na madada wa kazi, wanaume waliofunzwa kazi na mama zao hawafanyi hivyo, tena mke akijifanya kulala sana weekend akiamka atakuta kila kitu kimefanywa.
#smallthingsmatterthemost#shida ya wanawake wa leo you are so fine in judging small issues kuliko mambo makubwa,huwa mnahisi mko sahihi nyie kwanza kuliko mtu mwingine yoyote,unataka upendwe,upewe kila kitu wewe,ufanyiwe yote unayoyakuta kwa jirani na rafiki zako ajabu ni kwamba wewe hutaki na huwezi kufanya hata moja unalotaka ufanyiwe,mahusiano ni kama maji ukiyasafisha na kuyatunza nawe yatakutunza badae utakapo yanywa
Njoo kwangu Mbiti, fasta![emoji125]natamani kuolewa 'round ya 2' ! teh teh
ofcoz yes! Tatizo ni usilalamike na kuona kuto kupewa kijiko ni big deal,wakati kuna vingi tu vingine umefanyiwaTutengekua hatufanyi hizo big things sidhani kama tungelalamikia only little things...
Halafu kama haujajua vizuri wanawake wanajali vitu vidogo vidogo zaidi ya vikubwa.
Napika naandaa napakua naosha vyombo hapo mwanaume akisaidia angalau kuleta kijiko inamaana kubwa mnoo.
Utoto kwenye kubembelezwa na kufanyiwa kazi, ila akichelewa kurudi au atoke bila kuaga mpigie simu umuulize au mwambie kwa nini hivi na hivi. Utajibiwa "usinitreat kama mtoto bana, wewe sio mama yangu". Ngachoka
hahahahha,hayaa!#smallthingsmatterthemost#
Njoo kwangu Mbiti, fasta![emoji125]
Aah wapi, hata ukilihudumia litachukuliwa tu, likwende hukooo
Hahaha, we kaa na mambo ya makabila, utachina na kukosa tamu ya kipare[emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji125].awwwwwwwwwwwwwwwwww woyooooooooooo ! mh sema kabila lako wabahiliiiiiiiiiii haaaaaaaaaaaa! sipend mtu bahili jaman maana mie ubahili siupend km ccm ! naja hvyo hvyo lakin
Unakosea kupanga vitu madam ndo maana anakutuma ili next time ujiongeze. Utaandaaje meza ili ale usahau kuweka maji ya kunawa na chumvi (table salt) halafu wewe uondoke badala ya kula naye au kumliwaza wakati anakula?Mtufikirie na sisi tunachoka kutumwa siku nzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan hataki hata kugeuza shingo yake achukue anataka apewe mkononiNa ukiwa unamnawisha anakutuma toothpick
Hahaha, we kaa na mambo ya makabila, utachina na kukosa tamu ya kipare[emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji125].
mpe semina elekezi ya maisha ya wawili [mr&mrs]Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.
Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.
Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
mmeolewa kweli nyie?Ile umeamka asubuhi ukawahi sehemu ukamuacha kalala ukirudi jioni hajatandika kitanda, hajaoga kalala kisa haukuwepo ukamuandalia maji utafikiri unaishi na chizi. Wanawake tuna tabu sana.
umenena vyema.Kazi ya mwanamke ni kumhudumia mwanaume wape nafasi wenzio walihudumie njemba,trust me watalichukua jumla
tena anaenjoy sana kumhudumia mmewe.Sidhani kama mke mwema aweza kulalamikia mambo kama haya.
Una akili sana bibieHayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo
Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi
My own brand!!