Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,595
Usilazimishe kuhudumiana.Wanaohudumia wapo wachache. Wengine wanahudumiana
Wanaacha nguo chini au wanazitupa juu ya cover ya basket ya nguo, yaani kufunua mfuniko na kuweka ndani watatumia nguvu sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi silazimi kuhudumiwa. Ni jukumu lake na kama akishindwa atasaidiwa tu hakuna namna.Usilazimishe kuhudumiana.
Inategemeana na mtu, kama unaona ni lazima mme wako akuhudumie na hataki basi achana nae utafuta atakayekuhudumia.
Unadhani ingekuwa unaweza kupata mtoto bila ndoa na haya madini yetu yazingekuwepo,mi nisingeoa nipo unique sana yan mi nkishafanya ngono nikamaliza uwaga sioni ht umuhimu wa mwanamke zaid ya kupikiwa,kufuliwa,kuonyewa vyombo...mpaka nakua mkubwa style yangu ya mapenzi ni kuitana weekend kubanduana then kila mtu anapita njia yake...naamini mi ni mtu wa ajabu sana sababu nikiwa mwenyewe ndo nakuwa na furaha snTabu yote ya nini si utafute mjakazi akufanyie yote hayo?
haaaaaaaaaaa ! nikajua nipo peke angu !
Mkuu umeegemea upande.Kazi ya mwanamke ni kumhudumia mwanaume wape nafasi wenzio walihudumie njemba,trust me watalichukua jumla
Ni 99% watakuambia unataka haki sawa. Umesahau akivua nguo kwenda kuoga anaziacha pale aliposimama tena chini kabisa halafu hana hela hata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi limeishaNimeolewa na mfano wake.
Bado una povu ?
Mtoto bila ndoa inashindikana vipi mkuu? Sidhani km ni sahihi kuingia kwenye taasisi ambayo unatambua kabisa huiwezi. Not fair kwa mwenzako na kwako pia maana utapata stress sizizo na sababu maisha yako yoteUnadhani ingekuwa unaweza kupata mtoto bila ndoa na haya madini yetu yazingekuwepo,mi nisingeoa nipo unique sana yan mi nkishafanya ngono nikamaliza uwaga sioni ht umuhimu wa mwanamke zaid ya kupikiwa,kufuliwa,kuonyewa vyombo...mpaka nakua mkubwa style yangu ya mapenzi ni kuitana weekend kubanduana then kila mtu anapita njia yake...naamini mi ni mtu wa ajabu sana sababu nikiwa mwenyewe ndo nakuwa na furaha sn
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha weeeeh!!Hayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo
Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi
My own brand!!
Na kuna wanawake wasipompata bwana wa kumhudumia hivyo hawafurahi, wanaona wamenyimwa sehemu yao ya kumhudumia bwana.Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.
Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.
Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.
Haka kamwanamke sijui kamevurugwa na nini. Kama ndo kamke kangu nyumbani narudi kulala tu, nakuwa nishakula, kuoga na kila kitu huko nilikotoka tuone kama ujinga utaendeleaKwani lazima uolewe?
Maana kila siku mada zako ni kulalama tu.
Ukiona uko sawa na mmeo basi nawewe oa mke akuhudumie.
Labda kama wewe sio mwanamke, kama wewe ni mwanamke na umeolewa basi ndoa huiwezi maana unalalama sana.
Mada yako nyingine hii hapa ukilalama
Ewe mwanaume, zama zimebadilika, upikiwe? Kwanini wewe hupiki?
Teh teh teh nadhani na wewe ni mwanamke mwenzangu utakua unajua tofauti ya mwanaume zezeta na asiyejitambua.Basi limeisha..ila hongera umempata zezetA na nina uhakika lzm utamtafutia mchepuko.. mwanamke hawez kuvumilia kuishi na zezeta mda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mnataka tupake mafuta mpaka kwenye kalio ili iweje?Usoni na viganjani tosha kabisa.na kama atakumbuka mafuta basi takuwa kwenye viganja vya mikono .
Amefeli tayariUmeanza chokochoko siku nyingi. Kama upo kwenye ndoa naona ndoa imekushinda. Itakuwa hujafundwa wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli remote ipo hapo karibu yako, nipo jikoni unaniita nikupe remote kama huo sio ulemavu ni nini?
Bora akiwa na hela hata utamvumilia.
Yaani ni jukumu la mume wako kukuhudumia kwa maana ya kazi za ndani?Binafsi silazimi kuhudumiwa. Ni jukumu lake na kama akishindwa atasaidiwa tu hakuna namna.
Nilikuwa namjibu huyo ambae amesema hizo ni kazi za mke wakati kazi yake ya kuhudumia familia financially mkewe anaifanya pia.