Wanaume kwanini mna tabia mbaya?



Endapo nitakuwa nimewatimizia watoto kila kitu, maziwa, siagi, na makorokoro yote, na kazi yangu ni ya kukutana na kuongea na watu (consultation), mara nyingi asubuhi nakutana na watu kwa mazungumzo, na sipendi kunywa chair mapema, pana ubaya gani meeting ya kwanza nikaifanya over breakfast? SHIDA UME CRAME, NA KAMA MME WAKO ANAKUNYWA CHAI YA MAZIWA NJE NA WATOTO YA RANGI, HUO NI UBINAFSI WA MTU .....
 
Gracious ....
Na baba asiye bora kabisa ni yule anayeenda kunywa chai ya maziwa wakati watoto nyumbani hata chai hawaijui

wahenga walisema.....(sijui walichokisema)
Mkuu nimependa ulivyomalizia[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni kuchenga kula kwako yaan upo tu huna pa kwenda halaf waenda kula hotelini
 
Haha ila sometimes mnatuwazia mabaya bwana. Mkiona Hatupo nyumbani mnajua tunatumbua kumbe tumeshidaa na njaa tu.
Aliye rudi na njaa anajulikana na aliyeshiba anajulikana

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni kuchenga kula kwako yaan upo tu huna pa kwenda halaf waenda kula hotelini

Sasa huyo Mume wako HANA PAKWENDA, unafikiri sisi wote hatuna PAKWENDA KAMA HUYO WAKO? haya tutake RADHI!
 
Labda hujui kupika Acha kulalamika nenda kajifunze kupika kwanza.
 
Karibu Rudizi Famu upate Kitimoto safi. ... Karibu Fyatanga upate michemsho na Mbuzi choma. ...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] acha hizo kale nyumbani na familia unazani wanao wanafundshwa na nani jinsi ya kula vizuri!

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nikisubirigi chai nyumbani huwa nachelewa kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…