Wanaume kwanini hampo romantic?

Wanaume kwanini hampo romantic?

Nyinyi wenyewe saa zingine mnakera.kila saa tu Hela sijui wigi mara nikakombelee nguo kwa fundi mara sijui vikoba ahaaa! Mara hujakaa vizuri watu wa Finca wamekuja kuchukua makochi eti marejesho yamechelewa.haàaa ! Wanachukua Romantic yote na kuicha Mkatoriki
Tunajadili mambo ya hela hela kama tuko kwenye ubia wa kibiashara vile na wala siyo ndoa
Well said kk, hii hali ya mizinga mizinga kwa isiyokuwa na kichwa wala miguu inaondoa romantic yote kabisa
 
Mwambie mpnz wako unachopenda akufanyie stop kucompare mahusiano yako na ya wengne utabak unaumia mbna mm hunifanyii hiv flan anafanyiwa... Tulia tuUkishindwa pambana na hali yako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishakuwa romantic unaanza na kuambiwa shida maana kwenye uromantic hata huwezi kusema no!mm nikitaka kuwa romantic kwanza huwa natoa angalizo kwamba tunazungumzia mapenzi peke yake siyo muda wa kuelezana matatzo kwa mfululizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine tumeshaomba poo!
Maana kila siku na kila wakati ni Mahaba tu....
Tunasahau shida na maendeleo mengine.
 
Mwambie mpnz wako unachopenda akufanyie stop kucompare mahusiano yako na ya wengne utabak unaumia mbna mm hunifanyii hiv flan anafanyiwa... Tulia tuUkishindwa pambana na hali yako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahaba ya ku compare hayafiki mbali, atakosa pa ku compare ndio utaanza kuona uhalisia wa mtu....tufanye kitu roho inapenda.
 
Kwa uzoefu wangu wanawake wanapenda bad boys. Wanaume wanaojua nini cha kusema kwa wakati gani. Wanawake wengi wanapenda kuwa dominated. Choking, spanking, dirty talking zinawapagawisha sana hawa dada zetu. Lakini ukijifanya romantic kama mithun ujue atakuja kukuona boya.
Kuna baadhi ya Bad-Boys wako na Mahaba pia.
Ningekupa mifano sema nawasitiri .
 
Nikuhonge nanunua nini, kwanini yani, nikipi nsichokijua ina TV ndani?? Cc Binamu
 
Back
Top Bottom