Wanaume kwanini hampo romantic?

Wanaume kwanini hampo romantic?

Nyinyi wenyewe saa zingine mnakera.kila saa tu Hela sijui wigi mara nikakombelee nguo kwa fundi mara sijui vikoba ahaaa! Mara hujakaa vizuri watu wa Finca wamekuja kuchukua makochi eti marejesho yamechelewa.haàaa ! Wanachukua Romantic yote na kuicha Mkatoriki
Tunajadili mambo ya hela hela kama tuko kwenye ubia wa kibiashara vile na wala siyo ndoa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo haohao.
utakubaliwa kuingia kwenye kifungo cha ndoa na mtu wa hivo?
si mateso na utumwa huo?
Unajua ndoa zinatupa vichaa sana wanawake,kama kaisotea muda mrefu hatajali kama mwanamme wake hayuko romantic anazama tu
 
Hivi neno "romantic" ni kiswahili cha mwambao au cha Pemba?? Kama sio kiswahili basi elewa hayo ni mambo ya kuja hivyo ni ya kuiga tu.
Mwanamke ndiye anatakiwa abuni ufundi ndo maana wengine huvaa shanga ziamshe mdadi. Kula denda si "romantic" ya kiswahili. Tunayajua mamichezo ya kikwetu ka vile katerero na kukata mauno hadi mzee anapagawa. Maneno na miguno na vilio hutoka kwa mwanamke hadi jamaa anakupa suruali umwage vyote vilivyomo ndani umpe tu kanauli ka kwenda kazini. Akiwa kazini anasikia vile vilio na miguno yako hadi saa sita anarudi mbio kuja kupata cha haraka haraka, sio romance
hujanielewa mzee baba
 
Kiuhalisia jamii zetu kimaisha Hatupo romantic na hii ni jadi yetu.

Hata lugha tu kiswahili hakipo romantic. Chukulia kispanish au English, baby I love you, baby I miss you... ina-sound vizuri.

Ndiyo maana huwa mnapenda kutuongelesha vingereza kwa mnaojua.

aggyjay pia kuna wanawake wengi tu hawako romantic... mwanamke hata kudeka kidogo anashindwa
Ndio kusema tunakakamaa kama mkate uliokauka baada ya kumwagiwa chai hahahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baadhi yenu ndo mlivo..ni wachache mno wako romantic wakiwa kwenye mahusiano.
wanaosalia wote kwenye mapenzi kama wanajeshi wako kambini..khaa

mwanaume mda wote yupo serious mbele ya mpenzi wake hadi kero..
wengine hata kutumia maneno matamu kama sweet,honey,babe,pumpkin,laaziz hawana hilo kabisa...yani basi mpo wote ndani akutekenye kiuchokozi akutanie kidogo wapii!! mkitembea wote barabarani humshiki hata mkono

sura kavu kama boss kwa mfanyakazi wake... mkipanda kitandani sasa uraskia "panua bwana usinipotezee mda wangu"
or *kama hutaki ondoka"...
hii ndo sababu mojawapo kwanini mnachapiwa ..
kuwa romantic kunapagawisha mwanamke..anajiona yupo kwenye himaya sahihi..anajiamini we ni wake tu na umempenda kweli..
anakuwa huru nawe na pia kukueleza na kukuonyeaha hisia zake.

mshike mkono mkitembea
kama unajua kuimba mwimbie nyimbo za kimapenzi..
mdekeze
mbembeleze
hold her hand and tell her ni kiasi gani unampenda na malengo yako kwake..
mjali
kuwa mtaratibu na mbunifu wakati wa tendo nae afurahie (sihamasishi uzinzi..muoane )

we huoni kwemye matamsha ya wanamuziki wa kiume..kama diamond..nsync..westlife..justin bieber etc!!..wadada wanajazana mbele..wanagombania kuwashika mkono..trust mi zile nyimbo zenye mchananyiko wa maneno matamu ya kimahaba na sauti ya kiume vinwafanya wapagawe..wanalia mpaka wengine wanazimia kwa furaha..



shauri yako..
Kwani umekutana na wangapi mpaka sasa....!!!!?
 
Wanaume 'romantic' wapo wengi tu, tena wanajua sana kuwa 'romanctic', tatizo ni je, wewe ni aina ya mwanamke ambaye mwanaume anajisikia kuwa 'romantic' nawe?. Wanaume wengi wamewaweka wanawake kwenye 'makundi tofauti' katika kujichanganya nao. Kama wewe umo katika kundi la yule wake maalum, yule mahsusi, yule laaziz wake, yule waubani wake, mwanaume huyu atakuwa 'romantic' kwako hadi utachanganyikiwa, kama hawi 'romantic' kwako ina maana wewe hauko katika wale anaopaswa kuwa 'romantic' kwao. Wanaume wana kundi la wanawake ambao huwafuata kwa ajili ya ngono tu, hakuna zaidi, nao wakubali au wamkatalie mwanaume huyu hajali na hana sababu ya kuwa 'romantic', maana shida yake ni ndono na ana uwezo wa kuipata ngono hiyo kwa mwingine, bila kulalamikiwa kwamba awe 'romantic'.

Ukiona wewe unaambiwa kwamba ' panua bwana usinipotezee mda wangu au kama hutaki ondoka", tambua kwamba nafasi yako hapo ni kwa ajili ya ngono na kamwe hatakuwa na hana sababu ya kuwa 'romantic'.

Tambua nafasi yako ni nini kwake, je wewe ni wa 'romantic' kwake au ni wa ngono tu.
umeeleza vizuri baba..nimekuelewa.
na kwa upande wa wanawake je..kama unavoona wanaume wengi hapa wanamika kuombwaombwa hela...
 
hiki sometimes kinasababishwa na majukumu kuwa mengi ya kikazi ndo mana unakuta kuna muda mwanaume anabadilika anakuwa romantic siku na siku sio siku zote...pia mwanamke mwenyew unatakiwa ujiweke katika mazingira ambayo yatamshawishi mwanaume awe romantic katika mazingira yenu husika
 
Nimekuelewa vizuri sana kuwa wanaume wengi sio romantic. Sawa kabisa ila, hebu tujiulize kidogo, wangelikuwa sio romantic bibi na mama zetu wangetulia hivyo kwenye ndoa zao??
wasingetulia..but nimeguaia pande moja..wanaume..but najua ni jukumu la mwanamke pia.
mahaba yakikosekana mtu anaishije ndani ya ndoa?
 
hiki sometimes kinasababishwa na majukumu kuwa mengi ya kikazi ndo mana unakuta kuna muda mwanaume anabadilika anakuwa romantic siku na siku sio siku zote...pia mwanamke mwenyew unatakiwa ujiweke katika mazingira ambayo yatamshawishi mwanaume awe romantic katika mazingira yenu husika
kweli kabisa
 
hi
kweli kabisa
hivyo basi ielewekwe kuwa mwanamke ana nguvu kubwa sana ya kumfanya mwanamme awe romantic kulingana na mazingira atayojiweka yeye mwenyewe hasa wakiwa privacy na uromantic unahusu sana faragha ya wapenzi ingawaje wanawake wengi wanapenda mume wake amuonshe vitu vya faragha wanapokuwa wapo public kit ambacho ni wanaume wachache sana wako interested na hicho kitu katika mazingira ya kawaida lakini mwanaume akiwa faragha yupo romantic hatari kuliko mwanamke
 
Back
Top Bottom