Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
- Thread starter
- #61
Nmekuelewa ,, ungenambia tu nikajua ...aya nitabadilika.
jamaniiiNmekuelewa ,, ungenambia tu nikajua ...aya nitabadilika.
jamaniiisio lazma awe mwanaume..nimwaonhelea sababi nyie ndo vichwa vya mahusiano...nyinyi ndo waamuzi wakuu mahusiano yaende vipi..Kwani n wanaume pekee ndio wanaotakiwa kuwa romantic?!!!! Mkuu kuna wanawake wengine ni mizigo..ukimwambia Fanya hivi Mara aseme kachoka, cjui Mara nahis ucingiz ,, n.k! AF mambo ya kuitana mabebi watu wazima cifagilii miimi kwan ukiita mpenzi haisaundi?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwachekeeni ili iwe rahisi kutupiga mzinga?

Hivi romantic Mpaka uongee kizungu? Kwanini tusitumie lugha zetu za asili..??
Sent using Jamii Forums mobile app
true dat..Wanaume Romantic wapo na mdada kama wewe ni romantic lazima utavutiwa kwa mwanamme mwenye tabia zinazoendana.
Kama vipi mfundishe, ukimpenda mtu lazima kunavitu utakubali kubadilika ili muendane.
"Shout out to all Romantic Men Out There"!
Cc: Biobenga
wafundishe hawa..Kuna Lugha ziko kiromantic hata huwezi jua kama wanagombana...
Hahahaha tuambie tuambieNa nyie mkiomba hela muombe kiromantic pia,
sio utatuma hutumi,kama hutumi niambie!


Ohooo!!!!Sasa mnatuchanganya, mara tuwe wagumu ndo mnapenda wewe tena unataka tuwe laini, ndo maana wanasema hamjui mnachokitaka. Mi nitakuwa real, love me for who i am.
Lugha ya asili haiwezi kuwa romantic mkuu.
Neno lenyewe ni romantic vije ulitekeleze kiswahili![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Ucjal; mara Moja moja cio mbysio lazma awe mwanaume..nimwaonhelea sababi nyie ndo vichwa vya mahusiano...nyinyi ndo waamuzi wakuu mahusiano yaende vipi..
unaweza kumuita mpemzi...na mengineyo kama hupendelei ya kizungu
kimahaba-romantic.Lugha ya asili haiwezi kuwa romantic mkuu.
Neno lenyewe ni romantic vije ulitekeleze kiswahili![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mguse uone hata mbele zawatu linabweka tu kama jibwa koko limeokota mfupa, kanda ya ziwa wajita
Sent using Jamii Forums mobile app
UCHOKOZI HUUhapama sinaSi umtaje tu huyo bwana wako anayekuletea ukauzu ajijue kuwa atapigiwa
![]()
sina hata mmoja mwayaKwani mleta uzi una wanaume wangapi?!
tabia zao tu..ukiona hivi si hayuko deep in love na wewe.Unakuta mwanamke anakuwa romantic akitaka kuomba hela na ukimwambia ntakupa siku fulani anaitikia haya na story zinakufa hapo mpk hiyo siku ifike ndio utaona msg...
Mambo ya romantic waachie wafilipino na wakorea..
Hapa ni mama Bhoke weka nirengeshe..
hiiiTatizo wanawake wanataka kuiga wanayoyaona kwenye TV.Kiuhalisia jamii zetu kimaisha Hatupo romantic na hii ni jadi yetu.
Hata lugha tu kiswahili hakipo romantic. Chukulia kispanish au English, baby I love you, baby I miss you... ina-sound vizuri.
Ndiyo maana huwa mnapenda kutuongelesha vingereza kwa mnaojua.
aggyjay pia kuna wanawake wengi tu hawako romantic... mwanamke hata kudeka kidogo anashindwa
kweli..uzungu usipitilize..ni kupnyesha upendo tu..ka kuna asivokubaliana navyo unaviacha..unaendelea na vingine"Nakupenda" ina-sound vizuri zaidi na ina uzito kuliko "I love you". At least kwangu mimi.
Kuna siku nilijikaza kumfungulia mrembo fulani mlango wa gari, to my surprise alisema nisifanye hivyo tena. Kumbe naye hakubaliani na hilo, niliishia kucheka tu. Kuna uzungu fulani naona watu wanatumia sana nguvu kuufanya