tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,200
Sasa mnatuchanganya, mara tuwe wagumu ndo mnapenda wewe tena unataka tuwe laini, ndo maana wanasema hamjui mnachokitaka. Mi nitakuwa real, love me for who i am.
Lugha ya asili haiwezi kuwa romantic mkuu.Hivi romantic Mpaka uongee kizungu? Kwanini tusitumie lugha zetu za asili..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza wewe kuzitoa kiromantic.....next time ataomba kufanana na alivyopokea. Tusitegeane.Na nyie mkiomba hela muombe kiromantic pia,
sio utatuma hutumi,kama hutumi niambie!
Ni kweli kabisa, ni vigeu geuSasa mnatuchanganya, mara tuwe wagumu ndo mnapenda wewe tena unataka tuwe laini, ndo maana wanasema hamjui mnachokitaka. Mi nitakuwa real, love me for who i am.
Wewe mguse uone hata mbele zawatu linabweka tu kama jibwa koko limeokota mfupa, kanda ya ziwa wajitaaggyjay sasa KAMA HAYUPO ROMANTIC, SI WEWE UWE ROMANTIC ILI NA YEYE AKOPI NA KUPESTI? AU LAZIMA AANZE KUWA YEYE ROMANTIC? MWANAMKE ANA NAFAS KUBWA YA KUMBADILISHA MUMEWE KITABIA NA MWENENDO KWA UJUMLA, TUMIA NAFAS YAKO

Umenivunja mbavu hakikaNyinyi wenyewe saa zingine mnakera.kila saa tu Hela sijui wigi mara nikakombelee nguo kwa fundi mara sijui vikoba ahaaa! Mara hujakaa vizuri watu wa Finca wamekuja kuchukua makochi eti marejesho yamechelewa.haàaa ! Wanachukua Romantic yote na kuicha Mkatoriki
Tunajadili mambo ya hela hela kama tuko kwenye ubia wa kibiashara vile na wala siyo ndoa

HahahahahahahaNyinyi wenyewe saa zingine mnakera.kila saa tu Hela sijui wigi mara nikakombelee nguo kwa fundi mara sijui vikoba ahaaa! Mara hujakaa vizuri watu wa Finca wamekuja kuchukua makochi eti marejesho yamechelewa.haàaa ! Wanachukua Romantic yote na kuicha Mkatoriki
Tunajadili mambo ya hela hela kama tuko kwenye ubia wa kibiashara vile na wala siyo ndoa
hahahahahah..yaani unataka uitwe bogapumpkin