Wanaume kwanini hampo romantic?

Wanaume kwanini hampo romantic?

[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji4] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kumbe bahati mnazikataaga wenyewe.


Ungekuwa umeshaniandalia chai asbh km hivi nmeenda zangu kibaruani nina raha,kila dakika msg tu baby hivi baby vile
 
kimahaba-romantic.

mpenzi nakupenda kama wali wa nazi[emoji23] [emoji38] [emoji14]

laaziz
nakuhitaji..nimekukumbuka.

mahabuba niambie unataka nini

nataka nikuambie ni jinai gani nakupenda..we tulizo la nafsi yangu..kwako nimefika wengine siwaoni

si kama hivo..unashindwa?
[emoji28][emoji28][emoji28]
Nimefurahi kumbe tunaweza kukitumia kiswahili?

Naenda kuifanyia kazi hii mifano yako, nitarejea na majibu hapa hapa.
 
Back
Top Bottom