Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,221
- 30,438
"Nakupenda" ina-sound vizuri zaidi na ina uzito kuliko "I love you". At least kwangu mimi.
Kuna siku nilijikaza kumfungulia mrembo fulani mlango wa gari, to my surprise alisema nisifanye hivyo tena. Kumbe naye hakubaliani na hilo, niliishia kucheka tu. Kuna uzungu fulani naona watu wanatumia sana nguvu kuufanya