Wanaume kwanini hampo romantic?

Wanaume kwanini hampo romantic?

wadada ndiyo tunasababisha sababu akikuchapa kalio mbele za watu utasikia wewe as if kafanya dhambi kukuchapa........... mazingira yetu na tulivyolelewa hayaruhusu hizo intimation
 
"panua bwana usinipotezee mda wangu"
or *kama hutaki ondoka"...hahaha nimecheka sina mbavu utadhani kina Mura lol
 
Hivi neno "romantic" ni kiswahili cha mwambao au cha Pemba?? Kama sio kiswahili basi elewa hayo ni mambo ya kuja hivyo ni ya kuiga tu.
Mwanamke ndiye anatakiwa abuni ufundi ndo maana wengine huvaa shanga ziamshe mdadi. Kula denda si "romantic" ya kiswahili. Tunayajua mamichezo ya kikwetu ka vile katerero na kukata mauno hadi mzee anapagawa. Maneno na miguno na vilio hutoka kwa mwanamke hadi jamaa anakupa suruali umwage vyote vilivyomo ndani umpe tu kanauli ka kwenda kazini. Akiwa kazini anasikia vile vilio na miguno yako hadi saa sita anarudi mbio kuja kupata cha haraka haraka, sio romance
 
Wanaume 'romantic' wapo wengi tu, tena wanajua sana kuwa 'romanctic', tatizo ni je, wewe ni aina ya mwanamke ambaye mwanaume anajisikia kuwa 'romantic' nawe?. Wanaume wengi wamewaweka wanawake kwenye 'makundi tofauti' katika kujichanganya nao. Kama wewe umo katika kundi la yule wake maalum, yule mahsusi, yule laaziz wake, yule waubani wake, mwanaume huyu atakuwa 'romantic' kwako hadi utachanganyikiwa, kama hawi 'romantic' kwako ina maana wewe hauko katika wale anaopaswa kuwa 'romantic' kwao. Wanaume wana kundi la wanawake ambao huwafuata kwa ajili ya ngono tu, hakuna zaidi, nao wakubali au wamkatalie mwanaume huyu hajali na hana sababu ya kuwa 'romantic', maana shida yake ni ndono na ana uwezo wa kuipata ngono hiyo kwa mwingine, bila kulalamikiwa kwamba awe 'romantic'.

Ukiona wewe unaambiwa kwamba ' panua bwana usinipotezee mda wangu au kama hutaki ondoka", tambua kwamba nafasi yako hapo ni kwa ajili ya ngono na kamwe hatakuwa na hana sababu ya kuwa 'romantic'.

Tambua nafasi yako ni nini kwake, je wewe ni wa 'romantic' kwake au ni wa ngono tu.
 
Pole sana...

Ukiona hayo yote yanakutokea, ujue upo in a wrong relationship...

Mimi napenda sana kumdekeza mahondaw wangu sana...

ingawa times namkimbizaga mchaka mchaka...

cc: mahondaw
 
wadada ndiyo tunasababisha sababu akikuchapa kalio mbele za watu utasikia wewe as if kafanya dhambi kukuchapa........... mazingira yetu na tulivyolelewa hayaruhusu hizo intimation
je haziwezi kufanyika mkiwa peke enu ndani.?
kuwa romantic haimaanishi muoneshane mahaba hata mkiwa hadharani..haipendezi..
je mkiwa ndani?
 
"panua bwana usinipotezee mda wangu"
or *kama hutaki ondoka"...hahaha nimecheka sina mbavu utadhani kina Mura lol
ndo haohao.
utakubaliwa kuingia kwenye kifungo cha ndoa na mtu wa hivo?
si mateso na utumwa huo?
 
Back
Top Bottom