Wanaume kwanini hampo romantic?

Wanaume kwanini hampo romantic?

Kuna baadhi ya Bad-Boys wako na Mahaba pia.
Ningekupa mifano sema nawasitiri .
Sema tuu dear hapa anonymous. Mimi nilikuwa namaanisha bad boys wako romantic but in a dirty way that women love. Kwa mfano he will take care of you, buy u gifts, wine and dine you etc and then *** u in the parking lot while choking u, spanking u and talking dirty to u
 
Kazi tunayo duh maana mnataka tuwahonge,tuwakojoze,tusiwe vibamia,six packs na hii romantic ukigeuka pembeni Sizonje anatukimbiza mbio mbio hakika hakuna rangi tutaacha ona.
 
Sina chura umesikia nataka kufumuliwa malinda kuwa mstaarabu eti huna sura wendoulieniumba wewe unamamlaka yakuumba mwanadamu mwanaume huna staa kabisa halafu jiheshimu sawa yaani siokila mtu wakumuongelea unvojisikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiichukulie jf serious sana, mbona mambo ya kawaida humu kutaniana mdada...sasa matusi ya nini aisee?
 
Sema tuu dear hapa anonymous. Mimi nilikuwa namaanisha bad boys wako romantic but in a dirty way that women love. Kwa mfano he will take care of you, buy u gifts, wine and dine you etc and then *** u in the parking lot while choking u, spanking u and talking dirty to u
 
Bibie kuchapiwa siri ya ndani(alafu ili neno kuchapiwa sielewi maan mwenye papuchi ni wewe so unachapwa wew)
 
Kwa uzoefu wangu wanawake wanapenda bad boys. Wanaume wanaojua nini cha kusema kwa wakati gani. Wanawake wengi wanapenda kuwa dominated. Choking, spanking, dirty talking zinawapagawisha sana hawa dada zetu. Lakini ukijifanya romantic kama mithun ujue atakuja kukuona boya.
Hahahahaha andhaaaaaa kanuniheeee
 
Kuna thread ya mwanaume romantic imewekwa.tatizo jamaa ni kutoka Zimbabwe.angekuwa hapa angewapanga kama foleni ya mwendokasi posta-kimara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thibitisha hayo madai yako..cc MBITIYAZA


hahahahaha!mimi mbiti nathibitisha kuwa xwez kudendeka nikiwa nimeximama kwaxabab flow ya damu miguuni huwa inakata najikuta napepexuka na kuanguka chini

nitaweka baadae ref kwa xhahid zaidx! ! ... xwag on flik
 
Mimi siwezi kuonyesha mambo yakitoto wakati sisi niwatu wazima yani nikifika kitandani hakuna lugha ya kufikirika suala ni panua , weka mguu vizur, nk.. Suala la kuwa romantiki njiani hio ni dalili ya kuonyesha udhaifu kuwa una wasi wasi atanyakuliwa na wengine, mwanaume kujiamini.
 
Nyinyi wenyewe saa zingine mnakera.kila saa tu Hela sijui wigi mara nikakombelee nguo kwa fundi mara sijui vikoba ahaaa! Mara hujakaa vizuri watu wa Finca wamekuja kuchukua makochi eti marejesho yamechelewa.haàaa ! Wanachukua Romantic yote na kuicha Mkatoriki
Tunajadili mambo ya hela hela kama tuko kwenye ubia wa kibiashara vile na wala siyo ndoa
Hela hela hela ndo wimbo wa taifa khaa, hadi kunako tunawahi wahi tu ili mradi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia jamii zetu kimaisha Hatupo romantic na hii ni jadi yetu.

Hata lugha tu kiswahili hakipo romantic. Chukulia kispanish au English, baby I love you, baby I miss you... ina-sound vizuri.

Ndiyo maana huwa mnapenda kutuongelesha vingereza kwa mnaojua.

aggyjay pia kuna wanawake wengi tu hawako romantic... mwanamke hata kudeka kidogo anashindwa
Ndo maana me nimevuka boda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom