Wanaume kwanini hampo romantic?

Wanaume kwanini hampo romantic?

Baadhi yenu ndio mlivyo.. Ni wachache mno wako romantic wakiwa kwenye mahusiano.
wanaosalia wote kwenye mapenzi kama wanajeshi wako kambini.. Khaa

Mwanaume muda wote yupo serious mbele ya mpenzi wake hadi kero.. Wengine hata kutumia maneno matamu kama sweet, honey, babe, pumpkin, laaziz hawana hilo kabisa... Yaani basi mpo wote ndani akutekenye kiuchokozi akutanie kidogo wapii!!

Mkitembea wote barabarani humshiki hata mkono.. Sura kavu kama boss kwa mfanyakazi wake... Mkipanda kitandani sasa utaskia "Panua bwana usinipotezee mda wangu" or *Kama hutaki ondoka"..

Hii ndio sababu mojawapo kwanini mnachapiwa ..

Kuwa romantic kunapagawisha mwanamke.. Anajiona yupo kwenye himaya sahihi.. Anajiamini we ni wake tu na umempenda kweli.. Anakuwa huru nawe na pia kukueleza na kukuonyeaha hisia zake..

Mshike mkono mkitembea. Kama unajua kuimba mwimbie nyimbo za kimapenzi..
mdekeze, mbembeleze, hold her hand and tell her ni kiasi gani unampenda na malengo yako kwake..

Mjali kuwa mtaratibu na mbunifu wakati wa tendo nae afurahie (Sihamasishi uzinzi.. Muoane )

Wewe huoni kwemye matamsha ya wanamuziki wa kiume..kama Diamond.. Nsync.. Westlife.. Justin Bieber etc!...

Wadada wanajazana mbele..wanagombania kuwashika mkono.. Trust mi zile nyimbo zenye mchananyiko wa maneno matamu ya kimahaba na sauti ya kiume vinawafanya wapagawe.. Wanalia mpaka wengine wanazimia kwa furaha..

Shauri yako..
Tatizo wabongo tunapenda maigizo sana na kingine tunataka yale mambo ambayo wale waphilipino wa tamthlia wanazoonesha Star TV ndio tuyafanye wakati kiuhalisia mazingira hayaruhusu. Wewe chukulia poa tu hata kama ukipigwa mtama wewe tulia tu
 
Kiuhalisia jamii zetu kimaisha Hatupo romantic na hii ni jadi yetu.

Hata lugha tu kiswahili hakipo romantic. Chukulia kispanish au English, baby I love you, baby I miss you... ina-sound vizuri.

Ndiyo maana huwa mnapenda kutuongelesha vingereza kwa mnaojua.

aggyjay pia kuna wanawake wengi tu hawako romantic... mwanamke hata kudeka kidogo anashindwa
Kwa kweli
 
hivi mapenzi ya mababu zetu uliwahi kuyaona aubhata kusimuliwa?

huku tanga ukipita nyumba unaskia wanaimbiana taarab ya mapenzi huku mume analishwa vhula baada ya kutoka shamba hoi..
anaenda kuogeshwa..anakandwa mwili..
huu wote ni uzungu?

hata kama majukumu mengi.
ili penzi lidumu tengeni mda wa kuwa pamoja..
Na ndio maana mapenzi ya Tanga ya ladha tofauti na mikoa mingine coz na wanawake nao wanajitahidi kuwa romantic na kutimiza majukumu yao ipasavyo.

Sasa huku kwetu mnataka wanaume tuwe romantic wakati nyie wanawake mnakaza.
 
Back
Top Bottom