Wanaume kwa hili, laana itatumaliza

Wanaume kwa hili, laana itatumaliza

Hao ndo mbaya zaidi mkuu...they deserve zaidi ya laana...
 
filisika tujue tabia ya mkeo so hapa wote wana matatizo katika sehem zao siwezi kumlaum mmoja
 
Mimi Sio mmoja Wao na kamwe sitakuwa Katika hilo.. Eeeh Mwenyezi nisaidie
 
Halaf wanavojua kujitetea sasa,utasikia ooh yule mwanamke ana kelele sana ndani hakuna amani,ndo maana naamua nitoke tu.kumbe hamna lolote ushenzi wao tu
 
Mmekosea sana kuingiza demokrasia kwenye ndoa, ndoa ina misingi yake
 
Back
Top Bottom