Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 492
Ina maana alikubaka!? Pole mpnz..Yaani mie kungekuwa na kiwembe ningemchana nacho. Hakuwa na utaalamu wa ku-deal na first timer kabisaaa😡
Ina maana alikubaka!? Pole mpnz..Yaani mie kungekuwa na kiwembe ningemchana nacho. Hakuwa na utaalamu wa ku-deal na first timer kabisaaa😡
Ungeeleweka vizuri kama ungewaasa vijana wa kike na kiume kuacha ngono kabla ya ndoa na sio kushambulia jinsi ya kiume kwa minajili ya kuwasafisha jinsi ya kike lakini tambua madhara ya ngono kwa kiasi kikubwa huwapata wanawake.
Ila naona umeamua kutafuta attention na likes kutoka kwa wadada walioshindwa kujitunza humu.... vema endelea kuwafariji ila ukweli utabaki ukweli milele
nashicha sha kopfooo?,, naona wameanza tenaShosti Shimbonyi!! 😉
Wewe unahitaji mchicha?Shosti Shimbonyi!! 😉
Usihadaike na maneno, kikubwa si bikra ila kwa mwanaume kujua ni YEYE tu hakuna aliyewahi kupita ndiyo ya maana kwetu. Tatizo kubwa kuhakikisha wengine hawajipakuliiHa ha ha. Yaani leo tutawajua wanaozisaka na wale wasiozi-mind.
Asilimia kubwa umeipata wapi ??Niirudishe tena? Kisa cha kujipatia mateso ni nini? Asilimia kubwa ya wanaume hawana patience ya kudeal na ma-bikra
Kumtunza mwanamke aliyekomaa na ukamtoa bikra ni shida tupu maana wengi huwa wanadeka na wakati mwingine ni pasua kichwa. Nadhani ni bora kuoa aliye na uzoefu. Wengi wao huanza kuchepuka na kucharuka wakati wakiwa katika ndoa. Ukionekana humwamini anakuchapa kiboko cha kwani si nilijitunza hadi wewe hujui kuwa wengine nilikuwa nawaona mbona sikuwapa. Kalagabaho wenzako wanajichukulia kiulaini hadi TIGO. Afadhali mzoefu utambana na aidha anaogopa utamdaka au atakuwa amepata midushe tofauti na atatulia.Wanawake ambao walizitoa bikra zao ******* wakiona Mada za kutolewa bikra roho huwauma sana..
Kuna ile Mada ya meya kutoa udhamini kwa mabikra, wanawake wameisusa kabisa.
Subiri utawaona watakavyojaa hapa kujifariji..
Asanteeeh mpnz wangu kwa kunitunzia bikra, ila nisamehe kwa kukutoa kabla ya Ndoa.
acha ufala, uliwahi kusikia mwanaume na ishu za ubikra..labda kwenu huko!sasa mbona we bikra huna
Haki hamna tofauti na kubaka unajua?! Asante SanaIna maana alikubaka!? Pole mpnz..
Umeona eeh! Ijumaa yote hii?! Watuache sienashicha sha kopfooo?,, naona wameanza tena
Haswaaa! Macho yaone vizuri maana comments zingine humu hazisomeki kabisaaa😉Wewe unahitaji mchicha?
Wewe ni Mchokozi! From Experience na stories na mashosti😉. Watu wanakimbilia kujisifu wametoa bikra wakati wenzao sie focus iko kwenye umeitoaje. Kuna utalaamu wake ati😛Asilimia kubwa umeipata wapi ??
au umejua baada ya kutolewa ?
teh teh teh
Pole! Bila shaka ulishamsamehe! Si ndio baba watoto mpaka Leo au?Yaani mie kungekuwa na kiwembe ningemchana nacho. Hakuwa na utaalamu wa ku-deal na first timer kabisaaa😡
Kila mtu alichukuwa hamsini zake baada ya muda; For some reasons, mahusiano hayakudumu. Ila na nilishamsamehe kiroho safi.Pole! Bila shaka ulishamsamehe! Si ndio baba watoto mpaka Leo au?
Nakupongeza kwa kumsamehe, hiyo imekusaidia au itakusaidia kuwa na mahusiano na yenye afya na mwanamume mwingine. Kuna wengine baada ya tukio hilo na wakashindwa kusamehe huwa wanawaona wanaume kuwa ni watu katili na hawawezi tena kuwa na mapenzi ya dhati hata kama wakiolewa! Wanafanya kama wajibu usiokwepeka lakini wangependa kila mmoja alale kitanda chake! Orgasm kwao ni ndoto!Kila mtu alichukuwa hamsini zake baada ya muda; For some reasons, mahusiano hayakudumu. Ila na nilishamsamehe kiroho safi.
Ewe Dada, zijue sifa za mwanaume anayetaka bikra wakati yeye hanaNaomba hiyo link nione eeh
Kuna kila sababu ya Dada zetu hizi bikra kuzitunza kwa kweli...nilitoa bikra moja tu mwaka 2007 nikiwa kidato cha tatu..mpaka Leo sijawahi kukutana na nyingine uku niliko KIGOMA...dah bikra adimu mademu wengi wamezalishwa duhwazazi ndiyo wanapima? duniani kote mwanamke bikra naheshimika najiulizahizi bikra huwa tunajitoa wenyewe?