- Thread starter
- #101
BadoWakuswampa yule bwana ako kula kulala anaekupiga mizinga umeshamwacha?

Hv Kuswampa ni kilugha au kiswahili?Kwa mwendo huo, japo hautaswampa sana Wakuswampa utaendelea kuswampa. Ila kila la kheri katika mipango yako.
Hukuona aibu Mkuu?Mbona mimi nimeoa mwanamke niliyemkuta na kila kitu.
Daah hata wewe?,halafu ukaingia mitini jamani?Wanawake huwa na dharau mara nyingi
Ukimzidi mwanaume kipato utakuwa hautoi papuchi vizuri, ukiniuliza kwa sababu gani nitakwambia, ngoja kwanza nimrudushie Mteja chenji.Habari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
Kiswahili hicho ndugu.Hv Kuswampa ni kilugha au kiswahili?
Mnadharau sana ndio utasikia mwanaume surualiHabari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
Mkuu, sikuona aibu yoyote. Nipo naenjoy maisha.Hukuona aibu Mkuu?
Mimi Mwanamke hata hela ya kukopa tu simkopi asilani.
Daah hata wewe?,halafu ukaingia mitini jamani?