mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Nilitaka kujibu ila n kama ulikua mawazoni mwangulazima uwe na macho ya rohoni
Nilitaka kujibu ila n kama ulikua mawazoni mwangulazima uwe na macho ya rohoni
Hakuna mwanaume anaemuogopa mwanamke,labda awe ni punguani wa akili,au awe ni mtu anaetumia mbinu fulani kumlinda huyo huyo mwanamke asiende wrong ktk maisha.ukitamka neno MWANAUME hata MUNGU hustuka usingizini na kuja kuangalia kuna niniHabari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?

Niko kwenye late 20'swakuswampa una miaka mingapi?.....tuanzie hapo kwanza nitarudi nikisha pata jibu
Ww hutoolewa bali jiandae kuoaHabari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
Mfumo dume utawamaliza wanaumeKwa maana ni aibu na fedheha mume kulishwa na mkewe
Kumbe mnajitambuaWanawake huwa na dharau mara nyingi
Nani alisema hiyo??Kwa maana ni aibu na fedheha mume kulishwa na mkewe
Nilitaka kujibu ila n kama ulikua mawazoni mwangu

Tatizo wanaume wamezoea ubabe, ASA unadhani Mimi na hela Yangu Mani anizingue? Sasa hapo ndio wanaanza kusema ni dharau ila sidhaniKwa asilimia kubwa wanaume huogopa kuoa wanawake waliowazidi kiuchumi. Sababu kubwa ni wanaogopa kuwa wanawake watawadharau waume zao
Labda kama huna papuch
Una sura mbaya
Ntakuogopa sana
kama hana basi inamaana ni mwanaumemi napenda ajue kwamba hakuna mtu mwenye uwezo asiekua na mtu mwingine aliekua na uwezo juu yake so huyo mwanamke hata awe na uwezo kiasi gani kutakua na mwanaume mwenye uwezo zaidi yake na huyo ndio atakae muoaHaya wanaume mkujee. ....fursa hiyo