Wanaume kuogopa wanawake

Wanaume kuogopa wanawake

Tatizo ni kwamba wanawake tukishawazidi wanaume kipato/mali kuna kakiburi kanajengeka na kutokuwa na heshima.

Inaleta raha mwanaume akikuzidi ie.elimu,mali nk,hata yeye atajisikia powerful na kujiamini.

NB: usiogope kutafuta mali, utampata tu wa kufanana nawe.
 
alafu Mimi sikuhz ndio ninaowapenda hao ambao mnasema wanamaendeleo kama mtaani kwenu yupo nipm Mimi nawala na kunihknga wananihonga
 
Nahisi ananiogopa japo ni mpenda kitonga, anashindwa kufanya maamuzi ya kuoa coz nimemzidi ila kitonga anakipenda
ila humfanyii haki.. kama humtaki mteme kuliko kumsengenya, ili nawe utafute walokuzidi uwezo wenzako.. kumchora kwenye kadamnasi sio nginja bora uachane nae tu
 
Umenikumbusha mbali ....

Kuna jamaa mmoja alikuwa askari wa kawaida ila akaoa mwanamke ambaye anafanya kazi kwenye taasisi moja ya binafsi... Mwanamke alikuwa Ana Nyumba yake lakini alikuwa anakaa kwa mumewe katika kota za polisi hivyo, kila walipokorofishana mwanamke alikuwa anaenda kulala katika Nyumba yake na hilo lilimfanya mumewe kuwa na nguvu ndogo katika kuiendesha familia vile alivyotaka

Kwa mfano huu nadhani hilo ni jambo linaloweza kukutokea Kama utahitaji mume ili mradi ni mume na si mume atakaerandana nawe...

Good luck
 
Habari zenu sana jf

Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.

Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".

Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?

Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?

Hili ni tusi la pili tunatukanwa wanaume wa JF ambalo siyo la nchi hii baada ya lile la mdada mmoja kuja na uzi hapa kuwa anatafuta mwanaume mwenye chura!!
 
Wanawake wengi wenye pesa huoa na c kuolewa,hivyo jiandae kuoa,mjini msingu kiuno na na c mwanaume Wa kujenga familia iliyonjema na mwenye mawazo chanya ndani ya familia,Kwan wanawake wengi wenye uchumi mzuri hujawa na viburi na dharau kwa wenza wao.
 
Effect yake ni kubwa sana Dada yangu kwanza mwanaume hatajiamini hata katika maamuzi maana pesa ina nafasi kubwa sana katika maamuzi na ndio inaamua, .mm nakushauri kama unataka Mr Right basi anza nae mapema ajue malengo yako na ujue malengo yake.
Siku hizi wanawake mnaanza kudate so isikupe shida kuanza kama wanakuogopa.
 
Mimi naona siokugopa kuoa mwanamke alie kuzidi kipato ila nimatokea ya tabia ya mwanamke mwenye kipato kikubwa kumdharau mmewake

Mimi naongea haya nimeyaona na Yemenikuta so huwa naishia katk uchumba au kuwadungua mimba na kuwaacha

Ewe mwanaume ukiwa na mwanamke alie kuzid kpato na elimu heshima utaipata mwanzoni kbsa Wa mapenz yenu kitakachokuja mbele ni uzalilishaji kbsa

NAPINGA KAULI KUWA WANAUME TUNAWAOGOPA BALI HATUTAKI KUWEKA MWANAMKE ATAE TUZALILISHA*

NDOA ni upendo na hamuwez kupenda mwanzo mwisho so ukigomba au kujibishana kauli Ukazojibiwa nyingine zitakutoa maana kama mwanaume

Hao endeleeni kupga na kuwazalisha hadi kizazi kitakapo badilika lakn sio kwa Africa yetu.
 
Hili ni tusi la pili tunatukanwa wanaume wa JF ambalo siyo la nchi hii baada ya lile la mdada mmoja kuja na uzi hapa kuwa anatafuta mwanaume mwenye chura!!
Tusi how, kwani ubaya uko wapi...kama huna nyumba so bora nikusitiri MTT Wa kiume
 
Wanawake wengi wenye pesa huoa na c kuolewa,hivyo jiandae kuoa,mjini msingu kiuno na na c mwanaume Wa kujenga familia iliyonjema na mwenye mawazo chanya ndani ya familia,Kwan wanawake wengi wenye uchumi mzuri hujawa na viburi na dharau kwa wenza wao.
Una uhakika? Au umehadithiwa na wasio jiamini?
 
ni kweli wanaogopa sababu wanwake tunakuwa na dharau.. ila usijali we jiendeleze achna na maswala ya ndoa si lazima wote tuolewe
 
ni kweli wanaogopa sababu wanwake tunakuwa na dharau.. ila usijali we jiendeleze achna na maswala ya ndoa si lazima wote tuolewe
Atakuja tafuta ndoa /mwanaume when it come too late. amuue yeye kumuoa mwanaume kuna vijana msingi kiuono mjin awalee. Kwakuwa mdaa huu hana time but mnajidanganya
 
Atakuja tafuta ndoa /mwanaume when it come too late. amuue yeye kumuoa mwanaume kuna vijana msingi kiuono mjin awalee. Kwakuwa mdaa huu hana time but mnajidanganya
maisha ni kupanga na kuchagua .. ameshasema si lazima ndoa .. but muda ni mwalimu mzuri tu...... ukiona mtu ameshafanya maamuzi usipende sana kuingilia maamuzi yake mwache huku ukijua time will tell.
 
Mkuu pole sana hao vidume wanao ogopa Wanawake ni wa huko mikoani, Dar hapa unapangwa papuchi inaliwa weee na mpaka 0713 ww siunawezo bna na mwisho unapangwa na Unaenda leta mkopo Unanipa , Harafu nakupiga chini
 
Yeah nikweli wanawake mnaghubu sana hasa ukijua mwanaume ulienae anatumia vitu vingi ni vyako mkigombana kidogo tu utamsikia mwanamke Ooooh kwanza Gari langu sitaki uliguse, Nyumba nilijenga mwenyewe hukuchangia hata mia jambo ambalo kwa mwanaume hutomsikia ivo
 
maisha ni kupanga na kuchagua .. ameshasema si lazima ndoa .. but muda ni mwalimu mzuri tu...... ukiona mtu ameshafanya maamuzi usipende sana kuingilia maamuzi yake mwache huku ukijua time will tell.
nmekuelewa sana mkuu
Nashukuru kwakuniongeze kam wigo Wa kujadili
 
Back
Top Bottom