miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
its just a matter of time wala usijistress kabisa..Time eeh![]()

karibu mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
nmekuelewa sana mkuu
Nashukuru kwakuniongeze kam wigo Wa kujadili
WANAWAKE mkiwa na fedha mnaleta nongwa sana na dharau kwa wanaume zenu so hakuna atakae kuoa kwa hizo plan zako utaishia kujichomeka chupa tuHabari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
Pamoja , wew umehesabiwa kweli .Mimi npo nishahesabiwa chrismaskaribu mkuu
nimeshahesabiwa na kurudi kutafutaPamoja , wew umehesabiwa kweli .Mimi npo nishahesabiwa chrismas
call me!Habari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?

Habari zenu sana jf

Katika jamiii yetu ya kiafrika Ili ndoa iendelee kudumu mwanamke hatakiwi kumzidi mwanaume chochote katika vitu hivi; pesa, elimu na umaarufuHabari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
Hahahahahhh.. Hiyo hata Mungu hapendi.. Ni fedheha kwa mwanaume kuhemea fedha ya mwanamke.. We jenga alafu mtafute alive kuzidi akuoe.. Vilevile hela ya mwanamke inamasimango mpaka sio vizuri.Habari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
mi siwezi kukuogopa hata uwe milionaire sema kuishi kwako siwez! bora tupangishe hiyo nyumba ili tuanze kuhustle pamojaHabari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
Pambana Mama usimsikilize huyo. Ankukatisha tamaa. Si kila aliyekuwa karibu yako anapenda maendeleo yako. When u meet him u will know. Be humble and yourself no matter how successfully u get just stay humble!Habari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
Ni kwa sababu ya baadhi ya wanawake
wenye kipato kuwa na nyodo na kuwadharau
waume zao,basi hakuna jingine.
Ni hili swala la kusema wanaume wanawaogopa
ni lugha ya mitaani,mwanaume wa ukweli hapendi vitu
vya dezo.Si kawaida mwanaume kutunzwa na mwanamke.
ndo maana mwanaume anaoa mtu ambaye wanaendana kimapato
ili wainuane kwa pamojana si kumtegemea mke wake.
Sasa je ni kwa nini wadada wenye uwezo
huchelewa kuolewa?
binafsi naweza kusema,hii inatokana na ukweli
kwambo vijana wengi wanaotaka kuoa huwa hawajawana uwezo
mkubwa wa kumiliki mali na hivyo kwa kuepuka nyodo kwenye ndoa zao
huwatafuta wanaolingana nao kimapato.Ni hili ndo kundi kubwa la waoaji.
Back to the point,kwa kuwa wewe unaamini katika
maendeleo kabla ya kuolewa,fanya upendavyo.
la kuzingatia ni kuwa,miili inazeeka,ila maendeleo hayazeeki.
anaweza kuyapata mtu yoyote,muda wowote awe ndani ya ndoa au nje.
endapo ataweka bidii kuyatafuta. Kupanga ni kuchagua.
Jibu la swali lako umelishalitoa mwenyeweHabari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
Thanks madam.Big up to you