kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,190
- 1,728
Tatizo sio tu wewe mwanamke na pesa yako bali hata ndugu zako wanaweza kuniona sina jipya nakufubaza ila kwakuwa sina mali
Nakusihi mtafute aliyekuzidi pesa au mnayelingana na ukikosa mtafute aliyekuzidi elimu kwa mbali sanaaa huenda ukamuheshimu kwa elimu yake but vinginevyo ndoa haitodumu ukimpata uliyemzidi kila kitu
Women you are weak sana unaweza kumpenda marafiki na ndugu wakakubadili msimamo
History inasema tutakula kwa jasho na mtazaa kwa uchungu so ukiwa na kila kitu nini jukumu langu kama baba? Kulala? Mwisho wa siku utaniletea wanaume ndani