Wanaume, kuleni hili tunda!

Singida, Dodoma, Tabora
Tele Yanamea Sana
 
Singida, Dodoma, Tabora
Tele Yanamea Sana
Niliwahi kuyaona hata shinyanga back on 80"s, sina hakika kama bado yanapatikana, mwenye kujua yalipo tafadhali tujulishane, nime search kwenye google nimeona wenzetu wanatengeza mpaka Juice yake, na yana faida nyingi kwa mwili hakika.
 

Huo ushauri ni kwa wanaume ws Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…