Please asimchape! Akimchapa inaweza kumdhuru kisaikolojia. Kitu cha maana ni kumchunguza na kuona kama ana tatizo kwenye ninihii yake au ampeleke kwa daktari. Vinginevyo, ni tatizo la muda tu litaishaNi utoto achape hiyo mikono, basi at the age of two years haiwezi kuwa tabia.
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?
Eee, kwa mtu mzima huo mtambo ni sign of pride, manhood, self-assertion and confidence. Lakini kwa mtoto lazima kuna shida. Aonwe dokta.Medical problem!
Mpelekeni hospital akachunguzwe..
Japo kuna wanaume wanapenda kushikashika tu hizo sehem, sijui wanapata maconfidence flan wakati wa kufanya hivyo...lakini kwa mtoto huyo, anateseka na mwasho..rush him!
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?
Jamani hii tabia tunajua wanaume wengi wanayo. sasa imemtokea my sister in law... mtoto wake wa kiume who is hardly 2 yrs old anapenda sana kushikashika vitu vyake hata hadharani..sasa she does not know how to stop or discourage it....is it a man thing...involuntary or voluntary...huyo mtoto kwa nini ana hii tabia?
Ha ha ha ha ha Shishi umenichekesha sana ha ha ha ha hizi tunaziita gogogo zinasababishwa hasa na joto la Dar na inabidi uwe msafi sana ili joto la Dar lisikuletee hizo gogogo na hali hii hata wanawake pia hupatwa na hizi gogogo, sasa na joto la Dar halafu maji hakuna wiki tatu au hata zaidi basi huwa kivumbi na jasho ha ha ha ha
Mkuu!! GOGOGO ndio nini? sisi wengine kinatupiga chenga kiswahili kipya.