Bishanga, kijiji hicho kinasifika sana kwa mengi! Moja likiwa ni walimu kuchapwa viboko na mkuu wa wilaya mwanzoni mwa mwaka huu.Natokea wapi? natokea kijiji kinaitwa Katerero,Wilaya ya Bukoba vijijini. Na wewe?
ps: By the way Shishi ulisema uta ni pm kuhusu kuhusu angaza,halafu ikawaje tena? na neno 'midude yao' mbona umelifuta kwenye title ya thread?