Wanaume jamani mnatuchefua

Wanaume jamani mnatuchefua

Wewe zitatokaje nje ya pua zinachungulia bana sijasema wanyoe zote wapunguze kule kuchungulia nje ni kinyaa
Wanawake wa hivi unaweza dhani wanakunya keki

Alafu usikute ni kabovu, kamejaziana kama boflo, sura mbuzi, chunusi chunusi, miguu yote ya kushoto, vigimbi kama mwanariadha
 
Hivi inakuwaje nyie wanaume huwa hamjiangalii kwenye vioo,,

Unakuta mwanaume ana nywele puani hadi zimetokeza nje hivi hamuwezi kata mnaziacha hivyo zinachungulia nje mnatia kinyaa hamjui tu mnatuchafua roho wengine hatupendi kuona vitu vya ajabu ajabu,,

Pia kuna video ya mzee Yusuph anaongea sijui manini yuko busy anajirekodi aisee najuta kuangalia hii video mapua yalivyo mapana sasa halaf zile nywele zimetokeza nje zina ukahawia hivi aisee kila nikifikiria napata kinyaa jamani,, basi hayo mapua mapana hamkujiumba basi yasafisheni mkate hizo nywele (sijui zinaitwaje )

Kuna lingine nalo hivyo hivyo nywele zimechungulianje. Hivi hamuoni kinyaa au mnaona kawaida tu,, Safisheni pua zenu, masikio aaaarghhh unakuta mwanaume ana uwezo na anatembea gari zuri tu lakin anatia kinyaa
Mzee yusuph aisee usirudie kujirekodi vile umenitia kinyaa mpakq najiuliza huyu Malkia Leyla anaona kawaida tu?

Wanaume mnaudhi sana wengine mpaka masikioni si mfanye wax na mnavyokuja kututongoza kifua mbele na nywele zako puani ptuuuuuuu

Nimemaliza kwa leo kama una pua imetokeza vinywele nyoa mnatutia kichefuchefu wengine bana

Zile ni chujio la hewa si unajua hewa ya dunia imechafuka karne hizi....
 
Taratibu,tumekusikia,ahsante kwa kutukumbusha,leo kweli mmeamua kututemea sumu iliyojaa miayoni mwenu
 
sawa sisi tuna manywele mapuani...
ila kaa ukijua tunawavumilia kwa mengi sana... ni kwa kuwa tumeumbwa na koromelo..
mdada unavaa chupi mpaka pale kati panakuwa pagumu kama jeans tunakausha tuu..hiyo bikini ndio usiseme kiasi kile kikamba kinachokatiza pale kinakuwa kama waya jinsi kinavyosagwa kiroho safi tunakausha......
acha hizo bhana... we angalia wallet yng tuu kama ilivyo ada yenu.....
Hiyo fungua uzi wake kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom