Wanaume jamani mnatuchefua

Wanaume jamani mnatuchefua

Leo una nini na sisi wanaume umetupania kweli mara ya kwanza umetuka nyumba zetu zinazohifadhi mikia yetu(boxer)
 
Hahahahs jaman watu wanapamɓana na mapua ƴaoooo wallah
 
Ant mapua nywele nywele nakuona upo kazini.

Mimi ni adui mkubwa wa kioo.
 
Huwezi kuwaridhisha wanawake... mfano wewe hupendi vinyweleo, yule anapenda...
 
imgres

imgres

Acha gubu. Hizo zina shida gani?
 
Unaweza kushangaa MTU anaye lalamika kinyaa,kinyaa ukimwona usoni unaweza kutapika
 
ww mtu sio bwana ako unaona kinyaa sasa kama mkewe anazipenda unataka anyoe akurizishe ww??
mm nilijua sijui mumeo ndo anayo sasa mzee yusuph ana wake zaidi 2 sijui 3 kama bado anazo basi hakuna zanaempa shda
lakn ww ndo kisebu sebu na kiroho papo
 
Hivi inakuwaje nyie wanaume huwa hamjiangalii kwenye vioo,,

Unakuta mwanaume ana nywele puani hadi zimetokeza nje hivi hamuwezi kata mnaziacha hivyo zinachungulia nje mnatia kinyaa hamjui tu mnatuchafua roho wengine hatupendi kuona vitu vya ajabu ajabu,,

Pia kuna video ya mzee Yusuph anaongea sijui manini yuko busy anajirekodi aisee najuta kuangalia hii video mapua yalivyo mapana sasa halaf zile nywele zimetokeza nje zina ukahawia hivi aisee kila nikifikiria napata kinyaa jamani,, basi hayo mapua mapana hamkujiumba basi yasafisheni mkate hizo nywele (sijui zinaitwaje )

Kuna lingine nalo hivyo hivyo nywele zimechungulianje. Hivi hamuoni kinyaa au mnaona kawaida tu,, Safisheni pua zenu, masikio aaaarghhh unakuta mwanaume ana uwezo na anatembea gari zuri tu lakin anatia kinyaa
Mzee yusuph aisee usirudie kujirekodi vile umenitia kinyaa mpakq najiuliza huyu Malkia Leyla anaona kawaida tu?

Wanaume mnaudhi sana wengine mpaka masikioni si mfanye wax na mnavyokuja kututongoza kifua mbele na nywele zako puani ptuuuuuuu

Nimemaliza kwa leo kama una pua imetokeza vinywele nyoa mnatutia kichefuchefu wengine bana
Nami ni m1wao... Asante kwa ushaur mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom