Aysher25
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,763
- 3,074
HahahhahahaahhaahaTatizo unakataaga halaf siku unakuja kuomba ushauri
Una mambo mazito
Ur missed
HahahhahahaahhaahaTatizo unakataaga halaf siku unakuja kuomba ushauri
Una mambo mazito
Tafuta jina kabisa bacTunasubiri mtt tu
![]()
![]()
Kumbeeeee....Wanavumilia tu,,mim hakuna na nnavyoongea utavipunguza tu nawahurumia wenye waume wa hivyo
sawa sisi tuna manywele mapuani...
ila kaa ukijua tunawavumilia kwa mengi sana... ni kwa kuwa tumeumbwa na koromelo..
mdada unavaa chupi mpaka pale kati panakuwa pagumu kama jeans tunakausha tuu..hiyo bikini ndio usiseme kiasi kile kikamba kinachokatiza pale kinakuwa kama waya jinsi kinavyosagwa kiroho safi tunakausha......
acha hizo bhana... we angalia wallet yng tuu kama ilivyo ada yenu.....
hizo nywele sinaJoseee haikuhusu au?
HahahaNamba yako wanaionea gere![]()
![]()
![]()
![]()
Hahaha, yaani yule ndio kaniacha hoiWanaume tumevamiwa leo kuna mwingine analamika boxer chafu huko
Wameambizana naona maana mara nyusi mara boxer sio muda atakuja mwingine na tuhumaHahaha, yaani yule ndio kaniacha hoi
Once said the late Sebastian Kinyondo. R.I.P. Mustache wake ulikuwa raha ya mkewe.Wake zetu wanazipenda sana so inakuwa nguma sana kuzinyoa kumridhisha mtu mwingine or rather mchepuko wakati hiyo ndio furaha ya wife..
Na atuache Bhana.Mbna mtoa mada una umbo la tufe lakini hatuja lala mika. Tuache na nywele zetu. Zitu saidie kuchuja microganism na dust.
Naw nawe umo kama nini sijui?kwanza nakujua bure huna lolote.Wewe zitatokaje nje ya pua zinachungulia bana sijasema wanyoe zote wapunguze kule kuchungulia nje ni kinyaa
Ngoja tuendelee kusubiri wanja ni wao leoWameambizana naona maana mara nyusi mara boxer sio muda atakuja mwingine na tuhuma