FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Haujuwi>HAUJUI
Hakukuwepo na mwalimu wa kiswahili shuleni kwenu?
Kiswahili ni lugha mama kwangu, wewe unaandika ulivyosomeshwa ujinga, mimi Kiswahili nnakiandika kama kinavyotamkwa.
Hiyo ndiyo tofauti kati yangu na wewe uliyesomea ujinga shuleni.