Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
huyo jamaa wa juu hana wasiwasi wa kifo hata helement hajavaa...
Ngoja aje nahisi alisoma Ward Secondary= helmet
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Bila shaka amemeza sana Qur'an ameacha idea za mcng= helmet
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
= helmet
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ngoja aje nahisi alisoma Ward Secondary
aksante nita edit
Bila shaka amemeza sana Qur'an ameacha idea za mcng
= ahsante
mambo mengne unakuwa kama unatafuta sifa...
unakera.
Ukiniquote tena, utakuwa unanitafutia ban
ntakurekebisha ~ nitakurekebisha= mengine
Ukikosea ntakurekebisha, labda uandike sawa. Kumbuka hilo. Kama hautaki watu wa ku quote ina maana hizi "open forums" hazikufai na wala haujuwi maana yake.
= mengine
Ukikosea ntakurekebisha, labda uandike sawa. Kumbuka hilo. Kama hautaki watu wa ku quote ina maana hizi "open forums" hazikufai na wala haujuwi maana yake.
Haujuwi>HAUJUI= mengine
Ukikosea ntakurekebisha, labda uandike sawa. Kumbuka hilo. Kama hautaki watu wa ku quote ina maana hizi "open forums" hazikufai na wala haujuwi maana yake.