Wanaume ingieni huku Mara moja

Wanaume ingieni huku Mara moja

Shikamoo brother...jana tu nikiwa Barbershop baada ya kunyoa nikaenda kuoshwa na mdada,maneno niliyoambiwa na huyo mdada nilistaajabu,nikamuuliza yeye ni kabila gani. akatamka kabila ambalo ni langu,sikuamini.hawa viumbe ni shida

Marahaba......
Hayo uliyokutana nayo ndio hali halisi iliyopo sasa hivi kuhusu hawa dada zetu...mama zetu
Na hali hiyo ipo kila mahali kuanzia maofisini mpaka mitaani....kila mahali wanawake wanasifika kwa sifa mbaya....

Kama wanataka heshima basi hawana budi kubadilika wao kwanza.....
 
Monicca nimegundua hujafunga ndoa ile juzi!!
Nakuja pm please!
 
Hivi monica nikutendee nn jaman
Uridhike kila nnachofanya kwako huridhki kila nimejitahid kadir niwezavo lkn mwenzang bado hujitikisi bas monica
 
Cpat picha mumeo anavyopata shida ndani ya iyo ndoa yako
 
Monica, habar za ndoa mpya?

nataka nikusihi hujaolewa ili kwanza utimize ndoto zako pekee, ndani ya ndoa,pasi kujua ndoto za mmeo ni zipi?kinachoonekana hapa, LEAH hakujua ndoto zammewe, yeye alikurupuka, akampangia mmewe, ohooo subiri nimalize mastazi, ndoa sio mastazi bhna ndoa ni watoto, komeni nyinyi vischana visivyo na adabu,yan wwe mi nakuoa unaniambia mastaz what is mastz? mme wa lea ni mvumilivu mimi mimba ningemtia mama mkwe na si mdogo mtu pumbafu, mastazi inazuia kuzaa, wanawake wa vijijini wanalima maekali uku na mimba kuanzia mwezi wa kwnza mpaka wa tisa wewe mimba unaona tatzo, pumbafu,Monicca nakusihi, tanua paja, zunguzsha viungo, mmeo anataka mtto.sio mastazi
Unalaana wewe kiumbe
 
jamani nini tena? pole moniccca km nimekukwanza maana ukweli siwezi kuuficha, kwenye kibindo cha moyo wangu wakati wewe uhai, kama umeolewa na mwanaume wa Dar, mwambie hbari za mastazi ila sisi kwetu bara upuuzi huo pereka pwani.
 
Hivi monica nikutendee nn jaman
Uridhike kila nnachofanya kwako huridhki kila nimejitahid kadir niwezavo lkn mwenzang bado hujitikisi bas monica
Basi nini? Funguka mwanaume acha kuumauma maneno! Au mdomo umefungiwa mawe nini?
 
t
Habari zenu!

Nimewaita huku ilituzungumze machache yanayowahusu,
Hivi kwann mntufanya sisi kama vitendea kazi vyenu?
Nimejaribu kufuatilia michango yenu ktk threads mbalimbali nimegundua hamuoni thamani yetu kbsa.
Niwakumbushe tu sisi ndiyo dada zenu, mama zenu, shangazi zenu, Bibi zenu na pia watu wa muhimu sana kwenu.
Mungu kutuumba wajinsia ya kike hakuwa namaana kawapa watumwa, bali alifanya vile kukamilisha familia.
Familia haiwezi kuwa kamili kama hakuna mwanamke na mwanaume.
Msijisahau enzi ya mfumo dume imepitwa na wakati, wengi wenu hata Matunzo kwenye familia hamtoi, wake zenu ndo kila lkn bado mkitoka vijiweni hamna jipya zaidi ya kusema wake zenu.
Emu badirikeni. Zingatieni hayo. Haya nende mkaendelee na shughuli zenu.

Mkasa wa leah2 umenifanya niwaandikie haya.

Asante.
tatizo mnataka kuingilia utaratibu wa Mungu.kila mmoja alipewa majukuku yake,
 
ivi mmeo vp kwny ndoa yenu?
 
Back
Top Bottom