Wanaume ingieni huku Mara moja

Wanaume ingieni huku Mara moja

Ayeeee mama weee ungekuwa wee ungefanyajee ayee mama wee ungekuwa wee ungefanyeee
 
Monica unatamani kuwa mwanaume.
Wala sitamani. Najivunia jinsia yangu, kwa taarifa yako sijawahi kujutia wala kutamani kuwa mwanaume, wanaume walikuwepo zamani bhana,wengi wa waliopo sasa tofauti na wanawake ni maumbile tu..lkn mengne hawana ujasiri kbsa. Kutunza familia na Mimi pia naweza
 
Em edit hapo juu mlipojimiminia sifa weka na hii ‘kutusababishia stress zinazotusababishia kifo na kufail maisha',unaandika mazuri tu weka na mabaya tujifunze wote.
 
Hawa wanapenda kulalamika tu, anyways hiyo stori ya Leah siijui sijui imekaaje
Shida ya dada Leah!!,imesababishwa na yeye mwenyewe,Kujiona yeye ndo kila mmewe hana sauti,rejea hata hii nyumba ni yangu,sikutaka kuzaa mpaka nimalize masters.Kiufupi mme wake haoni rahaa ya kuoa,sasa mdogo mtu alivyokuja inaonekana alionekana kumpa value shemeji yake(mme wa leah)kuliko hata mke mwenyewe anavyo mvalue,hii ikapelekea hayo yote.Haya rudi ukamuandalie chai mmeo mpya.
 
Em edit hapo juu mlipojimiminia sifa weka na hii ‘kutusababishia stress zinazotusababishia kifo na kufail maisha',unaandika mazuri tu weka na mabaya tujifunze wote.
Hongera angalau nawewe Leo umesema neno
 
Ni kweli ni wakati wa mwanamke kuamka na kuishi maisha bora kuliko zamani lkn si kwa style inavyokwenda.
Asikudanganye mtu mfumo dume sio dhambi na.uko dunia nzima mabara yote. Kinachopingwa ni matumizi mabaya ya mfumo dume. Lazima wasomi wetu waelewe hilo. Plz dont confuse the two.
Siku moja nilisikiliza stori ya Angela mark wa ujerumani nikashangaa sana nilihisi labda ni stori za redioni tu, yeye binafsi anafurahia maisha yake na familia yake na usomi wake wote na umaarufu alionao duniani.

Siku nyingine nilimsikia Asharose migiro akiongea kwa kinywa chache maisha yake halisi nje ya taaluma na profdesions zake, ni mama wa.kuigwa na anaenjoy maisha yake na hazeeki.
Kipindi nikiwa chuo nimeshuhudia dada mmoja akiwa mja mzito akiwa mwaka wa kwanza postgraduate na akiwa third yr tena nikamwona ana mmba nyingine, na hivi karibuni nime.wona akiwa kapendeza kweli na anapiga kazi nzuri. Kupanga ni vizuri lkn lazima kupanga mambo yenye tija na kuimarisha ustawi wenu.
Ukitamka neno MWANAUME dunia inatetemeka na MUNGU anatega sikio kusikiliza unataka kusema nini juu ya MWANAUME.%90 ya wanaume tunawatunza ninyi,tunawafundisha na mnatulipa maovu tu kwa kutugeuza ATM,usikivu kwenu umekua mgumu eti kisa mmesoma mnafanya kazi wafanyazo WANAUME,sasa hv mmedanganywa na watu wa Magharibi eti tuwe 50/50 kati yetu na ninyi,nawaapia haitakaa ikatokea mpaka dunia itakwisha,kumbukeni sisi ndo tuliumbwa na ninyi mkatolewa ktk viungo vyetu kipande kidogo mkatengenezwa ili mtuzalie na kutusaidia mahitaji madogomadogo ya nyumbani pindi tukiwa mihangaikoni,hebu rudini ktk uhalisia,acheni kuishi kitamthilia,chunguza mwanamke anaejielewa hata kama amesoma mpaka nyuma ya ubao wa vyuo lakini akikaa nyumbani akamtii mumewe na kutenda majukumu yake angalia atakavyokua na amani ktk ndoa.tatizo lenu mna vitu vya kuigaiga,mambo mnayaonea kwenye tamthilia za kifilipino yale ni maigizo ninyi mnataka kuyaishi,lazima ile kwenu.MWANAUME anaheshimiwa sana na MUNGU trust me.hzi shule mnazopata,vi IST mnavyotembelea na utandawazi ndo jipu lenu.nakuagiza heshimu na tii MWANAUME ule mema ya nchi.msituijie sisi na vigari vyenu vya mikopo ofcn kwenu na kutumwa na ofc kupeleka training fulani kwa watu,unawafundisha WANAUME kwa wanawake ktk ukumbi wanakusikiliza ukitoka hapo kichwa kinakujaa kua hata na nyumbani utaendesha training kwa mumeo,nakwambia utapigwa chini tu na uishie kua unachezewa na kuachwa.we mwanamke umekubali kuolewa alafu eti unaleta tena masharti ya kuzaa mpaka muda fulani,ukileta masharti ya kuzaa tafisili rahisi ni kuna muda ukiwa kitandani utakataa kumpa mumeo unyumba,alafu unadhani nini kitatokea?shauli zenu,mtalalamika mpaka dunia itakwisha msipobadilika.FINISH

Usiseme mfumo dume sema mfumo mbaya wa mfumo dume.
Hapa utapambana na ukuta.na utajiumiza mwenyewe.
Mwanamke namthamini sana lkn akishakuwa ni mtu mlalamikaji sana dhidi ya wanaume mmmh
G'taxi, umeongea wee, nikataka nikubararukie lkn ukazid kuongea, ukaongea mpaka povu likakutoka, ukafika mahali ukagusa penyewe taratibu nikawampole, kweli nimetokana na kambavu kamoja tu ka mwanaume, kweli Mungu amempa nafasi kubwa mwanaume, nikaenda mbali zaidi nikajisemesha moyoni mwangu hata Yesu wakati anachagua mitume hakuchagua mwanamke hata mmoja, hata mama yake mwenyewe hakuchaguliwa. Kwahiyo nikaona upo sahihi lkn pamoja na yote bado mwanamke haweze kutokuwa wa thamani kwako. Ukinithamini ntakuthamini..emu basi wathaminini wake zenu kuna jambo haliko sawa jadirini.
Leah alisema walikubaliana mpaka amaliza kusoma ndipo wazae kosa lake lipo wapi? Acheni mifumo dume bhana aagha
 
Back
Top Bottom