Ukitamka neno MWANAUME dunia inatetemeka na MUNGU anatega sikio kusikiliza unataka kusema nini juu ya MWANAUME.%90 ya wanaume tunawatunza ninyi,tunawafundisha na mnatulipa maovu tu kwa kutugeuza ATM,usikivu kwenu umekua mgumu eti kisa mmesoma mnafanya kazi wafanyazo WANAUME,sasa hv mmedanganywa na watu wa Magharibi eti tuwe 50/50 kati yetu na ninyi,nawaapia haitakaa ikatokea mpaka dunia itakwisha,kumbukeni sisi ndo tuliumbwa na ninyi mkatolewa ktk viungo vyetu kipande kidogo mkatengenezwa ili mtuzalie na kutusaidia mahitaji madogomadogo ya nyumbani pindi tukiwa mihangaikoni,hebu rudini ktk uhalisia,acheni kuishi kitamthilia,chunguza mwanamke anaejielewa hata kama amesoma mpaka nyuma ya ubao wa vyuo lakini akikaa nyumbani akamtii mumewe na kutenda majukumu yake angalia atakavyokua na amani ktk ndoa.tatizo lenu mna vitu vya kuigaiga,mambo mnayaonea kwenye tamthilia za kifilipino yale ni maigizo ninyi mnataka kuyaishi,lazima ile kwenu.MWANAUME anaheshimiwa sana na MUNGU trust me.hzi shule mnazopata,vi IST mnavyotembelea na utandawazi ndo jipu lenu.nakuagiza heshimu na tii MWANAUME ule mema ya nchi.msituijie sisi na vigari vyenu vya mikopo ofcn kwenu na kutumwa na ofc kupeleka training fulani kwa watu,unawafundisha WANAUME kwa wanawake ktk ukumbi wanakusikiliza ukitoka hapo kichwa kinakujaa kua hata na nyumbani utaendesha training kwa mumeo,nakwambia utapigwa chini tu na uishie kua unachezewa na kuachwa.we mwanamke umekubali kuolewa alafu eti unaleta tena masharti ya kuzaa mpaka muda fulani,ukileta masharti ya kuzaa tafisili rahisi ni kuna muda ukiwa kitandani utakataa kumpa mumeo unyumba,alafu unadhani nini kitatokea?shauli zenu,mtalalamika mpaka dunia itakwisha msipobadilika.FINISH