Hivi unajua kabla ya kuumbwa kwa Eva Mungu alimuumba mwanamke na mwanaume? Ge 1:26-29 and Ge 5:1-2
Unajua kwa nini Eva aliumbwa?
Ge 2:18, Mwanamke wa kwanza (Lilith) kabla ya Eva hatua zake za uumbwaji zilikuwa Sawa na Adam na hivyo kupelekea kukataa kuishi Kama mke wa Adam kwa kigezo cha kuwa sawa kiuumbwaji na kimamlaka.
Ge 2:23-25 Adam akasema, sasa huyu Ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke kwa maana ametwaliwa katika mwanaume..
"After Eve’s creation in Ge 2:23, Adam awakes and exclaims upon seeing her, “This time is this!”
The Hebrew term for “this time”, hapa’am, is used when an event repeats and the subsequent event is
being compared to the first. It could perhaps best be understood in English as “at this iteration”. So
Adam could understood as saying, “At this iteration is this!”, in reference to Eve standing before him.
Adam’s use of this word implies that he is comparing Eve’s creation to a previous creation"
Hapa tunajifunza kwamba Eva aliumbwa kutoka katika nyama za ubavu wa Adam kwa ajili ya kitofautisha mamlaka ya viumbe hawa wawili, Mwanamke siku zote atakuwa chini ya mwanaume na itakapotokea mwanamke anatAka kuwa juu ya mwanaume basi watu hao hawataweza kuishi pamoja.
View attachment 343930
Maandiko yanasema Adam alikuwa alone na sio lonely..Adam alihitaji msaidizi(helper) wa kumfaa.
Sasa tatizo linakuja siku hizi madada zetu hawafundishwi nafasi zao katika familia hasa kwa waume zao, wanawake wanataka kuwa juu ya waume zao na wasikilizwe kwa kila wanachokitaka..it's against nature na ndio maana mahusiano yanasumbua kuliko hata biashara siku hizi. Baadhi ya Wanaume nao hawajuhi mamlaka waliyopewa juu ya mwanamke na familia na hivyo kupelekea kupoteza natural authority ya kuwa mwanaume.
Kwa leo inatosha